kama hamna mfumo rafiki vijana wengine watashindwa kupasisha vyombo ila kama upo mfumo rafiki vijana wote watatii kupasisha chombo
2026-10-10 17:27:59
3
Ishaq6464 :
Yani nchi yazanzba inaongozwaje sijui kazi dhulma t
2026-10-10 16:21:59
5
Wakawaka tz ☠️💀💀 :
Bora iyo miradi isiwepo kwa hali hii hafar
2026-10-10 20:40:45
3
ZANZIBAR_VIATU 👠 :
amiin inshallah
2026-10-10 13:47:38
3
AGENT 47 :
amin inshallah
2026-10-10 13:08:09
3
Hanaf_hn :
kaka nakupenda kwaajil ya allah
2026-10-10 15:04:03
2
user2261687369986 :
kaka acha kuwapotosha washauli wafate sheria
2026-10-13 00:48:22
1
Hassan Abdalla Juma :
Kwa sote Mwenye Mungu atujalie tuwe watu wa Peponi Amiin.
2026-10-17 20:24:25
1
abdul9 :
2030 IshaAllah
2026-10-11 09:12:59
0
msuva chege :
faza uhakika iyoo
2026-10-22 10:21:09
0
malik_zein_mohd :
inshallah
2026-10-14 19:38:40
0
Wakawaka tz ☠️💀💀 :
Miradi ipo ila chamoto tuna kipata
2026-10-10 20:39:43
0
saeedsurvivor :
sasa sheria si ziko wazi?? kwann vijana hatutaki kufuata sheria mpk tunaingia kweny mivutano na serikali
2026-10-10 15:09:38
3
Hamad Abdallah :
Democracy ndio imeleta haya sasa hujui kinachokudhuru.
2026-10-10 15:37:41
2
fund nass :
Sheria Sheria mm juz nimekamata sn kosa nambiwa et honda nimeitia stika ndo Sheria iyo
2026-10-16 04:40:50
0
Nafla :
ao hawajachaguliwa wamejiweka wenyewe madarakan wahuni ao
2026-10-10 12:05:12
7
Ishaq6464 :
viongizu wetu hawanadini et
2026-10-10 16:21:12
2
Sharkx Boy Sharkx Boy :
shidaa viongozi wa zanzibar wanajifanya kama sio waislam ,km kweli wanania njeama nawananchi kwanii iyo faini iselekezwe kwenye ilo kosa lenyewe km mtu ,anunuliwe iyo helmet, helmet 15 fani 80elfu wapi na wap ,ivyo tu
2026-10-10 14:20:47
2
abou suhel :
mijitu tunafanywa km watto wakuku ikifika kipind cha uchaguz ndio munahtajika mukisha kuwafanyia leo hamuna tena mana
2026-10-10 18:35:39
1
TUTANKHAMUN :
Usijingate ngate achauchawa bro
2026-10-10 16:08:34
1
nawwar sultwaan :
izo taswira nzuri unazo zizungumzia wwkuna mwananchi Gani mnyonge kanufaika na huo mradi au unaongea tu
2026-10-13 10:27:40
0
staff dulla mkorea Zanzibar :
mh langu jicho tu bs
2026-10-13 03:57:27
0
SUMA TOUR & SAFARIS :
Yataishatuuu hakunakisichukua namwisho firauni kafika mwisho tustahamilituu
2026-10-10 19:12:05
0
To see more videos from user @fanto.fariyum, please go to the Tikwm
homepage.