nimegundua ikija kwenye comment ndo unaona ni Risk 😂ila kwa kalibu haionekani
2026-10-10 12:11:37
46
sue🌹 :
tuliokimbilia comments....🤣🤣🤣hiiiii
2026-10-11 20:39:07
14
𝕻𝖚𝖌𝖆 𝕭𝖔𝖞💥 :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
2026-10-12 16:02:20
9
KENNY :
Alf ukiwa unafungua kwenye comment ndio unaona vizur😂😂😂
2026-10-10 19:04:04
23
Elison Dominick :
tulokimbilia kwenye comment tujuane basi
2026-10-10 12:03:52
16
shariffu salumu :
tunaosema Risk gonga like hapa
2026-10-10 19:56:47
14
nass🌹🌹 :
ni RiSK ila nimelaza simu jmn ndy nimeona 🤣🤣🤣🤣
2026-10-11 18:18:20
9
denisjrminja :
RISK
2026-10-10 11:12:08
22
D sky :
tulio finya macho tukaona risk😅
2026-10-12 09:16:31
14
Jane Chisunga :
tulio angalia coment like hapa
2026-10-11 18:18:44
7
MNYALU tz :
nasikia ipo RISK nashindwa kuelewa
natamani niludi shule nikajifunze vizur hesabu za .Find the value of x
2026-10-11 15:03:56
6
DAVI WAMULEBA :
kuna alieona RISK tujuane😂
2026-10-11 19:19:40
5
kigulu :
Ambao tumefumba macho nusu mikono juu
2026-10-12 16:00:13
10
refadjohn :
neno (RISK)
2026-10-10 13:14:17
6
zaaquety🥰🥰🥰 :
jaman iyoo risk mmeionaje[Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-10 11:56:47
46
Mr.craftman👋👣 :
msi risk mda wenu kwaajili ya neno ambalo halipo 😳
2026-10-11 10:19:47
5
starboyncheye6 :
Tunaosema RISK tujuane
2026-10-23 16:14:41
711
To see more videos from user @young_tyger_tz, please go to the Tikwm
homepage.