ni kweli mim mkono wa kushoto ukiwasha napokea pesa ila wakulia ntatoa pesa
2026-10-11 07:26:39
22
silver ❤️🩹 :
hi to the awakened
2026-10-11 18:19:49
1
Aishaq :
me tako la kushoto huwa linanicheza sana naomba uniambie maana yake
2026-10-12 16:20:11
3
Papper :
mbona mimi mkono wa kushoto ukiwasha ndio natoa hela balaa ,, ukiwasha wa kulia napokea hela au napata faida
2026-10-10 18:56:49
20
JUZZORHD :
samahani chief mm nasumbuliwa na tatizo la kuota ndoto na ninachoota kinakuwa kama kilivyo aswa nikiota kifo cha mtu lazma afariki yeye nishaota mala tatu na watu wote wamekufa kweli kesho yake then nikiota napigana na mchawi bx lazma asubui mtu wang wakwanza lazma nkutane nae na nikienda kwa mganga au kanisani lazima kichwa kiniume sanaa mkuu ..naomba unisaidie mana nashindwa kujielewa nna nguvu gani au nna shda gn mkuu🙏👑
2026-10-11 14:13:12
2
mr future :
Yani mim mikon yote inawasha kwa pamoja ju kwakupeana zam sijui kwanin
2026-10-12 02:54:41
1
moh :
mbona kila neno liko opposite nachanganyikiwa
2026-10-10 19:33:45
3
Ayoub January :
Asante sana Kiongozi, hakika unachsema ni sahihi, kweli tusiuache Uungu wetu
2026-10-11 17:22:58
0
bettina john :
m nataka kujua nywele upende wa kushoto kusisimka na kulia
2026-10-10 19:34:41
1
user5185677536931 :
mwendelezo chief 🙏🙏🙏
2026-10-11 17:45:16
0
🧿 solvra🌻⚕️ :
na ukuu wa mungu upo upande wa kushoto...ndio maana ubongo wa kulia huongozwa na upande wa kushoto wa mwilin na ndio higher vibration yenyewe ilipo🧿🧿🧿
2026-10-11 05:40:02
2
BABAA :
🤣🤣🤣🤣 tusingekuwa Hapa Leo😂😂
2026-10-10 19:17:02
4
PLAN KHALID tz :
upovizuli sanasana
2026-10-11 08:13:37
0
mum BB :
mm mguu wa kushoto unawasha Nina mwezi Sasa nn maana yake
2026-10-10 18:31:51
0
naahajmal :
Ni kwel kabisa mkono wa kushoto ukiwasha uwa napata pesa sn ila mkono wa kulia uwa napata hasara
2026-10-10 12:59:59
10
kingjatelojr :
naomba unitag kwenye kila post yako asee napenda sana haya mafundisho
2026-10-11 04:17:26
0
saidyliputu :
vp kuhusu vibravition za machi
2026-10-11 03:32:53
1
Hunaidha Chikupila :
mm nkiwasha mkono wa kushoto nkweli napokea ila kulia natoa
2026-10-11 05:25:36
1
Emmanuel kulwa :
namacho. vp?
2026-10-10 18:45:51
1
Saimon Abel mwasumbwe :
inategemea kwa kila mtu vile mambo yanayohusu soyo watu wote ni sawa
2026-10-11 06:29:06
1
Jofrey ratif Mpangule :
ndio mkuu kulinda biashala unafanyaje
2026-10-10 20:39:41
1
Mugongo Ruhinda :
Hotep
2026-10-10 12:16:18
1
Zaynabu Qwaloh :
ni kwel kabisa nina ushuhuda
2026-10-10 20:06:00
1
sydi :
kabisa
2026-10-10 18:17:11
1
ummy kimaro :
jamanii mim mkon wang wakulia ukiwash napatag helaaaa nanikit nilich kifnyia uchunguz na kun ukweliiii kbsa
2026-10-11 09:56:14
1
To see more videos from user @matuta_alkebulan, please go to the Tikwm
homepage.