it happens when u love someone yet u know he doesn't love u back bat u can't withdraw
2026-10-11 04:29:52
1
ع🪶 :
the worst year of my life was 2018 💔and then 2019 my grandma passed away 🪦😪
2026-10-10 20:05:06
1
Ummy Masud :
Nikisema single mnasema power 😂.. single
2026-10-10 18:28:31
14
It’s harmony♎️ :
Nikicho kijua comment section. mnaumia sana 🥺🥺,, Ukiona uko. sehem ambayo sio salama ondoka sehemu. hiyo kwa sababu. tunao wapenda ndio wanaishia kutuumiza wakihisi hatuna machaguzi. mengine 😭🙌🏻Ni bora kumuacha anae mpenda ili aende kwa anae mpenda zaidi maana kama angekua anakupenda angekua upande wako. wala asinge chagua upande mwingine 😔😔wengi wetu. tunatembea na kuhisi maumivu. kwa sababu. tuu tumechagua kuishi. sehemu yenye maumivu makubwa wakati huo hakuna ambae anakua na wewe angalau akufariji mwisho wa siku unaishia kulia tuu. na kuacha maisha mengine yaendelee ,,,, Kamwe usiruhusu mwanadamu ambae mna share pumzi akunyime amani. ukiona huipati amani chagua upande mwingine ambao utakua sawa maana siamini ka
2026-10-11 04:16:59
9
Minah glam🌟 :
Hii situation achen tyyy🥹💔
2026-10-11 06:47:13
0
therealydivahwhite :
Mwaka 2022😂😂😂mapenz yalinitesa nyie 😂😂asahv wakuja aje wakutoka awasalimie
2026-10-10 14:31:53
28
Zayrah❤ :
dah sitaki kuangalia vitu kama hv mm nipo kwenye situation nzito jmn 🥺😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔
2026-10-11 05:56:59
2
Bertha😘 :
Inauma hiyo usiombe ikukute ila ukiwa na imani unamuachia tu mungu yeye ndo anajua nini afanye
2026-10-10 15:58:07
19
@izah🤲 :
kuna wakati jaman tuzime hisia tuwashe akili 💔🥷
2026-10-10 13:33:21
4
Mr. LONELY :
Leo nimekua wa kwnz kukoment video yako moja kwa ajili angu
2026-10-10 10:54:22
11
Mr Nation :
nshashiriki ndoa mbili za nlioamini hakuna kama wao kila mtu katika wakati wake, nliumia na nkajifunza.
lakin mwisho wa siku nikaamini binadamu anabadilishwa na binadamu kwa sasa namuonea huruma aliopo mana naona ananipenda sana ila yule loverboy alishakufa ndani yake, natamani aamini na ajifunze kwa haraka kwa mapenzi ya mungu😶
2026-10-10 16:26:35
3
husseinhotty :
niulizeni me katik mapenz[Crying][Crying][Crying] ila ninachojua hakuna komando WA mapenzi kama hujalizwa basi IPO siku utapitia wanaopitia wengine
2026-10-10 20:35:09
3
DULLA💯🔏 :
long time agoo😂
2026-10-10 21:57:19
1
Esta Dominick😘❤️ :
Ila nyie mapenzi yanauma kuliko yanga kufungwa isikie kwa mwenzio mpira unauma bana
2026-10-10 20:09:26
5
A-huthymin :
ni mwendelezo au mpya🤭
2026-10-10 20:40:41
1
tahiya_15 🥀❤ :
niongeee kwa kusimama au nkae kwanz 😳😂
2026-10-10 21:03:24
1
@Rommaynah🥰❤️ :
nishaalikw harus y bwan ang bht ilikua mbal na m ningekua iv uh alhamdulillah 😂
2026-10-10 22:17:27
1
Official asmah✨🦋 :
Bwanae akiona bas ila still nampenda 🥺
2026-10-10 19:45:29
1
aishach_234 :
jamani mapenzi shikamo 💔👌🙌😂💔
2026-10-10 19:00:09
1
it's cylaxy 🔥😈💗 :
daaaah 😔😭
2026-10-10 12:12:52
1
Sam phantom :
hakuna kitu inauma kama mtu unayempenda anakuacha anaoa ama anaolewa na mwingine its so painful kwa wote iliyowahi kuwakutaaa