ni kweli ata ivo kuipata CPA maisha yako lazima yawe kusoma, kula na kulala basi 😂😂
2026-10-10 19:32:29
5
Cheetah boy 🐆小王翻译 :
nimecheka sana ila kusema kweli sijaelewa chcht CPA ni kitu gani nisiwe muongo🤣
2026-10-10 16:39:30
1
Erick Kimani Jr 🇰🇪🇺🇲 :
ndiyo maana nili pause nisijesemwa huku.
2026-10-10 14:40:35
0
Emma Kabora :
Next
2026-10-10 13:54:07
0
African Child :
Aisee mdogo wangu na wifi angu ni CPA na tangu wameipata tamebadili majina yao wakaongeza CPA mbele😂
2026-10-11 11:20:45
0
kiherehere wa TikTok :
😂😂😂😂hatari
2026-10-10 14:01:35
0
Mercy Akyoo :
Kuna mwalim wetu ukuu kwanziaa kofia t-shirt,surual, ni CPA tuuu
2026-10-10 20:03:49
2
Vijora batiki jumla/rejareja :
Wacha wajione tu jaman😂mimi bado inanitesa
2026-10-11 08:21:56
0
Saky :
Why sociology jamani! 😂😂😂 Ndo hatujui excel ama!
2026-10-10 19:50:49
0
Baraka Jm :
madam Leila nmemuona
2026-10-11 12:20:04
0
Atouger the Souger :
na nikweli wamesoma
2026-10-11 07:33:37
0
Jovii180 :
Na huo ndo ukweli japo nawataman😅😂😂
2026-10-11 18:43:30
0
scentsaccessories19 :
Niacheni tu, haikuwa rahisi kuipata
2026-10-11 18:18:36
0
bundasam :
Mshahara ni shilingap unajua lakn?? Cpa analipwa million na laki 1 wakt daktari milion 1.630 sasa nashngaaaa unavyopamba cpa wakt mshahara wake sawa na mwal tu
2026-10-10 19:43:39
0
Tee lush and glow :
Hatujioni ni hali ilivyo ni wasomi
2026-10-10 19:12:07
1
shforrd :
tuachen utan CPA sio tako lile kwamb kila mtu analo😅😅😅😅😅
2026-10-11 09:33:31
2
Lydia Charles :
🤣🤣
2026-10-10 19:08:56
0
To see more videos from user @mcbrazadavy, please go to the Tikwm
homepage.