@mkakamweus2: Nikiwa hapa maeneo ya Buselesele Geita nime bahatika kuonana na huyu baba, nilivyomuona ikabidi nitamani kujua historia yake Kwa wanao mfahamu. Kilicho fanya nitamani kujua historia yake ni baada ya Kumuona akiwa amevaa magunia mengi sana Mwilini hali inayo mfanya mpaka anatembea Kwa tabu, Unaambiwa mvua ikimnyeshea huwa anashindwa kutembea kutokana na uzito wa magunia hayo, hayo magunia ndo nguo zake havai zaidi ya hayo. Kuna wengine wameniambia kuwa alikuwa ni mwanajeshi badae ndo akajikuta katika hali hiyo ya ukichaa, wengine Wana sema ni usalama wa taifa ( Hii imezoeleka pale anapo onekana mtu mtaani Asiye eleweka). Lakini mwisho nilikuja kupata uhakika kuwa, huyu anaitwa Chacha Marwa alikuwa ni mfanyabiashara na mchimbaji mkubwa wa Madini ila badae ndo alikuja kujikuta katika hali hiyo, alikuwa na familia na watoto wake kabisa Unaambiwa hataki nguo kabisa, hata Ukimpa nguo lazima kesho umkute na hayo magunia. Inasikitisha sana. #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights
mkakamweusi2
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 11:04:06 GMT
Music
Download
Comments
NeyRich :
ilikuwa mwanajeshi leo mfanyabiashala aisee watu mnayaweza mambo
2026-10-10 12:44:03
21
Madiba :
poul Brandi aje atujibu
2026-10-10 12:58:22
0
user2993510260071 :
tukifanikiwa tumtangulize mungu kwanza.
2026-10-10 18:47:46
9
Alfa_moga :
Mhhhhhhh😳😳
2026-10-10 20:00:25
0
Timothy Charles Lumbasi :
ndagu izo
2026-10-10 12:03:13
2
goodness of god :
tupumzishen sasa
2026-10-11 07:09:29
1
farajy santos96 :
umeongea point San mwanang hakuna aijuae ksh yk na maish utafutaji yanamamb meng san
2026-10-10 18:43:54
3
ha-bib-tee :
jana tukaambiwa mwanajeshi leo mfanya biashara
2026-10-10 12:39:13
3
sultan saidsaid :
inatokea brother maisha safari hata mtu yoyote yule anaweza akawa ivo broo ujafa ujaumbika.
2026-10-10 16:44:57
3
Malemi the doctor :
nini shida kwani
2026-10-10 11:08:53
3
Nurdin :
Maisha ni kupanda na kushuka
2026-10-10 17:56:53
1
Mnyantu gilr bariadi 1🔥💋 :
Njooo inbox
2026-10-10 19:11:51
1
shabaniroga :
Kuna shule na elimu ila ila maisha achananayo 🙏🙏
2026-10-10 19:08:02
1
JESHII TZ🇹🇿 :
ushasema katoro geita sishangai sana
2026-10-11 11:55:57
0
Paulina Mathias :
alinaniliii aubas mana watoto wake ni mabest zangu ninyamaze
2026-10-10 13:58:10
1
George madinda :
ila hii dunia inamambo mengi sana
2026-10-10 14:00:02
1
Mwasham Said :
ndo mean unaambiwa usitaman mali ya mtu ridhika na mungu alichokupa🥺🥺utajir una sir kubwa mnooh 😳huend hapo alikosea mashart ikawa hivo au pngn ni wivu wa binadam 😳ko mamb ni meng jaman🥺
2026-10-10 12:13:08
1
user612530586350 :
KAMA ALIZURUM SHAULI YAKE
2026-10-11 11:48:42
0
Justa :
mmmmh
2026-10-11 06:38:15
0
ngerelakaroli :
mm mwenyewe nashindwa kuelewa na kaa katoro na muonaga hivhiv2 sijui kinacho endelea
2026-10-11 08:46:22
0
odo :
mbna tunashindwa kuwaelewa mara mwanajesh mara mfanya biashara
2026-10-11 08:08:06
0
said malale :
Bado yupo uyo mzee
2026-10-12 16:36:20
0
deowamirambo :
huo
2026-10-11 18:30:33
0
Rama home electronic :
mungu anatoa mfano wa mzunguko wa maisha kwa vitendo kupitia mwenzetu zingatien somo
2026-10-11 17:07:36
1
Fungile :
ukweli mwamba huwa namuona ila siamini kama yanaukweli
2026-10-10 11:37:38
0
To see more videos from user @mkakamweus2, please go to the Tikwm
homepage.