[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ni mm tu nmebak na weus wangu
2026-10-11 09:27:13
1
4me💞 :
asa ulitaka niwe mwanafunzi Kila siku
2026-10-10 12:43:10
46
sweet😋mimah :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]sasa. shida iko wapi jmn na ninan kanion🙌🏻🙌🏻
2026-10-10 16:59:09
1
Neema :
tume glow
2026-10-11 16:50:04
0
msuya :
eee kuna shida kwani nimambo ya top up
2026-10-10 11:48:41
35
lucy kidotii :
mi sahivi nimekuw mweupeeee natumia viungo vya ngoziiii😂
2026-10-11 11:11:16
14
Rose Masaka :
shule tulikuwa watoto tunapaka yale mafuta ya baby care
2026-10-10 16:56:47
17
annah :
me naweus wang vle vle
2026-10-10 20:22:56
0
neema Raphael :
ambao tangu tuanze nursery adii leoo tuko vilevile tujuane maana sisi hekaheka sio vitu vyetu kabisa😅😅
2026-10-11 13:42:29
12
Bint khamic :
😅😅😅😅 mm hd ss nimweusi
2026-10-12 04:13:26
1
isher💥💫 :
Nani kaniona tena 🥺😂
2026-10-11 12:55:04
4
Fathiyah Ghose :
mimi nimekuwa jihan😳
2026-10-11 21:01:13
1
rich auntie :
lotioni mwanangu[Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-10 20:35:01
1
nicca's :
tunaoga mara tatu kwa siku na tunapaka mafuta mazuri ya ngozi primary kwa sis tuliokulia kilimanjaro pengine kuoga ilikuwa kwa mwezi mara mbili🤣🤣🤣🤣🤣 Baridiiii
2026-10-10 18:22:33
6
shamilah🥰 :
mumewangu kaangalia passport ya cheti cha drs la7 kasema sio mimi🤣🤣🤣