@dufumedia: Hawa jamaa wanafanya kazi kubwa sana tuwapeni mauwa yao mashallah na hawa ndo wanaotusababisha tunalalaga kesho๐Ÿ˜ wape neno moja kwenye comment #dufuupdates #dufuburudani #dufumedia

๐ƒ๐”๐…๐” ๐๐”๐‘๐”๐ƒ๐€๐๐ˆ
๐ƒ๐”๐…๐” ๐๐”๐‘๐”๐ƒ๐€๐๐ˆ
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 12:17:32 GMT
8626
456
21
11

Music

Download

Comments

swaleh.kan
Swaleh kan :
dooh kka abuu mashi huyo Hana baya kabsa mbagara kuu Moja hyo
2026-10-12 21:54:29
1
abdul.kassim151019
abdul kassim1510198544848 :
Pea ni bei gn waalim wetu
2026-10-11 20:03:05
2
ahmed98719
Ahmednasson :
Kazi ya mikono yenu Starehe yetu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Big Up
2026-10-11 18:54:47
2
nyalwanda05
nyalwanda mapunda :
Acha ziuzwe bei tu
2026-10-10 12:54:00
2
tumba.salehe1
Tumba Salehe :
HIZO NDO KASWAIDA BHANA
2026-10-11 18:06:00
2
swaum.waziri
Swaum waziri :
jina la kaswida
2026-10-11 11:10:15
2
sophyshommy
๐Ÿ’Žsophy๐ŸŒนshommy๐Ÿ’ฆ :
full mnauzaje
2026-10-10 20:06:29
1
kavillah1
kavea boassy :
abuu masha.
2026-10-10 14:19:01
1
aguero358epr1
HassanAguero :
wataalam
2026-10-10 13:13:59
1
user10634308586
mpemba :
fundi abuhu masha atar sana
2026-10-10 13:01:11
1
walid_mwakaliku
Balozi wa vijana tz :
Set ni Bei gani kwa sasa
2026-10-10 15:42:58
1
mjukuu18
mjukuu18 :
hawa ndo wanasababisha watu waroba usiku watuzoee na kuitwaa wazee wa night kali
2026-10-10 19:38:03
1
To see more videos from user @dufumedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About