@kipaza_afrika_mashariki: 🇹🇿📱 Emmanueli Mpyambala, mwanafunzi wa UDOM, amebuni VexGuard, mfumo unaolinda simu na laptop dhidi ya matumizi yasiyoidhinishwa kwa kutoa tahadhari, kupiga picha ya mhusika na kusaidia kufuatilia kifaa kinapoibiwa. 💻🔐 Je, ubunifu huu unaweza kuwa suluhisho la wizi wa vifaa hivyo vyuoni ?
Jinsi Watanzania tulivyo waajabu utakuta watu wanaanza kumsema vibaya big up sana kwake its a big step👏👏👏
2026-10-10 16:02:40
43
David Myalle :
Huu Mfumo Ntaufumua
2026-10-10 19:36:42
0
Fungafix phone repair :
mfumo unadhibiti software actions
ila bado watu wanaweza kufanya force restart kwa hardware keys
so wanaweza kuizima , kureset na mfumo ukawa umeenda
#justachallenge
2026-10-10 17:07:23
9
&+-Factotum#369 :
ili atoboe na hio app,serikali kupitia TCRA wenye kitengo cha maabara ya ukaguzi wa electronics ikiwemo simu na hizo kompyuta waingie ubiya na makampuni ya nje yanayotengeneza hizo. product app ya jamaa iwekwe Kwenye vifaa Ivo na isiweze kutolewa Kwenye simu ata ikiformatiwa,flashiwa,factory reset Wala akishishusha windows Mac os n.k io apo isitoke iendelee kuwepo,hapo ndo itakomesha wizi na mwamba atajulikana duniani kama app ni nzuri kwa functionality zake alizoziweka.
2026-10-10 21:05:59
4
kingventure :
huu mfumo hata sisi tunao tunataka mfumo wa wizi wa serikalin
2026-10-10 18:37:08
6
khozzeenicksonity :
yaan kwa elimu unayo fundishwa vyuon mwanafunzi anatakiwa aangaike mwenyew tu kufatilia maarifa mengi mitandaoni vinginevyo elimu ya vyuo Tanzania mbovu sana
2026-10-11 11:00:39
2
Dr KAPAMA :
mbona kaniwah huyuu 😂,namm natengeneza jamn 😂😅 sema Nn saf sanaaa sijajua mechanism yakee ipojee ,😂 but good idea
mchawi android na ios limit zao aaah jau kinomaa ,
2026-10-10 22:27:18
2
Its Papirl :
big up Sana My brother
2026-10-10 21:39:10
0
𝑺𝑬𝑪𝑹𝑬𝑻_𝑪𝑶𝑫𝑬✨ :
big up congratulations 🎉
2026-10-10 20:26:13
0
@Comrade_01 :
CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)
2026-10-11 12:26:01
3
Roy :
haudhibiti ila unapunguzaaa ... mfumo ambao haujatokana na simu hauwez zuia kabisa kuibiwa kwa simu...
ingefaa content za Internet wawe wanatoa wenye uelewa na mambo ya Internet.
2026-10-12 16:06:28
0
Mr password :
nipe mimi niibe muone😂
2026-10-10 17:38:13
0
Dr of stress :
hongera sana brother huo ubunifu mkubwa
2026-10-13 10:28:53
0
MASTER PRO🔥 :
haaaah kwaio mm nilichukua simu hadi Zanzibar app itafanya Nn, kufuata simu c bara ununue nyingine
2026-10-11 06:10:39
0
Ema youth precious :
congratulation my brother
2026-10-11 05:12:30
0
0079# :
hongera sana mwanafunzi watu kwa hatua hiyo na jua huo ni mwanzo tu far you will go
2026-10-11 07:11:56
0
Hashil :
mfumo wowote una madhaifuu utahackiwa tu nao huoo[Facepalm][Facepalm][Facepalm]
2026-10-10 15:34:23
0
CAGE :
aIndue mfumo ambao hauwezi tambulika na IT yeyote ata win sio app hiyo
2026-10-11 17:26:22
1
Eva :
tunaiomba
2026-10-10 17:03:04
0
sáim😉 :
anatakiwa apate support aendelezwe jamani kipaji ich
2026-10-10 17:29:38
2
CAGE :
hapana itasaidia kwa wale wasio jua hikitu lakini vex guard haiwezi kuwa suruhisho
2026-10-11 17:24:50
0
VexGuard :
Tunashukuru sana kwa imani yenu kwetu na kwa kuipa nafasi kazi yetu 🙏!
2026-10-13 17:04:51
1
🥰Bintu$_Swaleh :
congrats👑
2026-10-13 20:01:06
0
Nyinyoro🌼🦋🥰 :
Wonderful
2026-10-12 20:10:45
0
namgong'o salumu :
atunzwe na alindwe fuata maaagizo
2026-10-10 15:49:23
0
To see more videos from user @kipaza_afrika_mashariki, please go to the Tikwm
homepage.