ndo kwanz mim imeandik verfication passed munguu ata sielew
2026-10-10 13:28:46
15
eli :
natak wale wa PC
2026-10-10 14:53:56
0
Miss peace 💖💞❤️ :
Mbarikiwe jman
2026-10-10 13:38:46
7
NMT :
thanks Lord
2026-10-10 14:16:44
0
Lovelyn♥️🦋 :
ndo mnipe asilimia 10🥺
2026-10-10 12:45:57
3
lily :
dah mim continous si mnione jamn
2026-10-10 14:00:58
2
dika@girl :
ahsante sana mbarikiwe sanaa na sanaaa
2026-10-10 13:12:06
4
Ms 🦋 ❤️lavy@‼️ :
awamu ya pili ni lini jaman tutakufa presha
2026-10-10 16:37:07
1
sammy💝💝 :
samahani mi nilichaguliwa udsm na ifm na niliconferm ifm lkn majibu yamkopo yameenda udsm
2026-10-10 14:09:39
1
Tessy💫💦 :
me baada ya kuona batch ya kwanza sijapata
2026-10-10 15:00:10
2
ndege :
nashindwa kuelewa
2026-10-10 16:52:41
1
sobriety garlie :
mtuangalie na sisi jaman
2026-10-10 12:31:06
1
k_Travis12 :
mmenipa ndiyo lakin sizilipi mmejichanganya😂😂
2026-10-10 15:08:17
1
Arthur Kajehe :
kwani kuna watu tuliwahi kuwatukana Heslb au ,,dahhh🙆🙆 nachoka mim
2026-10-10 13:17:21
1
lifestyle 🔥 :
helbs mutatuuwa na izi baraka😁😁
2026-10-10 12:46:05
1
candy lee💯 :
awamu ya pili itatoka lini sasa
2026-10-10 13:00:19
1
grace mine🌸🩵 :
jamani eti kama ni mwanafunzi anaeendelea lazima aombe tena upya au?
2026-10-10 15:04:40
1
Sabbylee :
jaman mbns wengine wamelocate mkopo Kwa vyuo ambavyo hatujacorfirm na wameacha vile amabvyo tumecorfirm na tikapat admissions letter hiyoo inakawje wakubwa
2026-10-10 18:32:18
0
nice💐 :
awamu ya pili jaman
2026-10-10 17:27:06
0
Enx💕 :
kina verificatio pass ndio tumeachwa au
2026-10-10 17:15:14
0
elizabethkadama :
ok
2026-10-10 16:54:43
0
creator sarch🗨 :
awamu ya pili lini
2026-10-10 16:37:19
0
merry :
m yangu mpak saiv submitted
2026-10-10 16:31:38
0
fedhasongoro :
Daah☺️☺️
2026-10-10 12:51:12
0
To see more videos from user @uniguidetz, please go to the Tikwm
homepage.