@mrlovebite27: Mdogo wangu Unaejiita king Of Singeli Ulikuja mikono nyuma Ukilia Nifanye collabo na wewe umenisumbua kwa muda mrefu sana nikuwekee sauti kwenye nyimbo yako Nikaweka verse Tukapanga mipango yote kisha ukaenda uliko enda Kuwasikilizisha watu wako Bila kunishilikisha chochote ukaamua utoe Vec yangu nimekaa kimya Naona unaongea uwongo na unajing’ata ng’ata kwenye interview Ukihisi Sijui Kinacho Endelea Najua kila kitu niliamua kukupuuza pengine akili zako za kushikiwa Ila Kaa Ukijua Najua Kila mlichopanga Wewe Nawatu Wako Niliamua kukaa Kimya Ila Usinipande Kichwani Ukachukulia Kama Unaniweza #Wanangu Vec Hilo Nilimshindilia Kijana Wenu Kocho …….. Yule
Lava Lava
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 13:04:55 GMT
Music
Download
Comments
Al Watan Chui :
LA MWAKA 🎶🔥
2026-10-10 13:35:39
743
@king_yapsud :
love bite 🔥🔥🙌
2026-10-10 14:45:37
3
Madibba Jr :
kwanza verce hii ndo ilikuwa Kali
2026-10-10 13:14:27
86
CHOICE Tz :
🔥🔥🔥bonge la verse kaka mamamaeeee😂😂😂😂😂 dulla kakimbia
2026-10-10 13:49:19
10
Basupa :
Hata kama mm nafuta nyimbo mwenyewe afu unifunike 😂
2026-10-10 13:40:18
42
Mr peter ❤️ :
ata mimi nakutoa yani nyimbo yangu arfu unifunike
2026-10-10 13:45:20
32
chimamy s"🌸🌺🥰 :
mm ningekuombaa kwa jinsii navyokuelewa verse hyoo wekaa pembeni unganishaa na nyengineee tunarukaa nayo😁😁😁😁😁
2026-10-10 14:14:40
21
Mac_daylan :
bonge la verse bro apa dullah kazngua kuktoa kwenye verse
2026-10-10 13:42:35
19
Rukky💫💃 :
ukifika 1k mniite😁😁
2026-10-10 13:11:43
16
@shaddy_mnaks :
yoh bro do you still love harmonize.....if you do love him do a couples of collabo with him
2026-10-10 13:10:26
4
Mo talent💥 :
Bite Gang🙏
2026-10-10 14:44:06
1
vadohswahili :
Hii Verse Noma saana
2026-10-10 13:36:31
3
Willy key 🇹🇿🔑🔥🔥 🇨🇩🇹🇿 :
wakwanza mimi LIKE HAPA KAMA UNAMUKUBALI LAVALAVA
2026-10-10 13:15:05
13
𝒅𝒂𝒊𝒕𝒉𝒚🌸 :
𝒉𝒊𝒊 𝒗𝒆𝒓𝒔𝒆 𝒊𝒎𝒆𝒕𝒊𝒔𝒉𝒂🥰🥰
2026-10-10 13:57:28
1
Ngachucha Jr :
hiyoo ni remix itakua safiii sana
2026-10-10 13:35:16
7
Frednize Dar Chibu🍁 :
verse kali san mwamb kaogopa kufunikwa...🙏
2026-10-10 13:54:53
7
Mussa Brand 🤳 :
hili ni la Kuvuka Mwaka kabisa,Kwel yasakwe 🔥🔥🔥
2026-10-10 14:26:55
2
Nature Mwaipungu :
unaweza endeleza game
2026-10-10 13:10:50
2
@Sumaectrical :
kali
2026-10-10 13:08:21
3
Luxury Bags Luxe :
Noma🔥✊
2026-10-10 13:08:37
3
🌺🤎 :
mnaonaje tupite na hii mpaka dullah asiamini macho yake 🔥🔥🔥
2026-10-10 14:41:08
4
Styven 🍏✅ :
Première commentaire
2026-10-10 13:09:40
3
dommy play station🎮 :
🔥🔥mapanga yako juu sana mzee wangu
2026-10-10 13:10:02
4
+243 Afro Congo Les griffes 🐅 :
Nakufata kutoka Congo, ndugu zangu wa congo mupo wapi 🇨🇩💔
2026-10-10 13:12:05
4
davoomamba047 :
Kwa verse hii ilivyoua kwanini asiogope lazima hakufute
2026-10-10 13:41:36
3
To see more videos from user @mrlovebite27, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.