@zelott_big: BURUDANI: NYIE JIHAN AKIVAA PICHU MZURI SANA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣... Gurudumu la Miss Grand international limezidi kusonga mbele na hatimae, Mrembo Jihan kutoka Tanzania amefanikiwa kuingia hatua ya 10 bora. Ni furaha isiyo na kifani kiasi kwamba @Kiredio aanguka kwa furaha. #kenyantiktok🇰🇪 #viralvideo #tiktokviral #tanzaniantiktok🇹🇿 #trending