mwingine alitupa documents zangu chini aty nipange vile inafaa na hajaniambia vile nafaa nipange 😂😂
2026-10-10 14:37:27
96
Mona Andrews :
someone to bring me back
2026-10-10 14:11:00
35
A_Kimtai || BScN 🇰🇪 🇺🇸 :
Adi wanaume manzee, Hao watu na attitude, wacha tu. Kwanza hapo GPO na police stations.
2026-10-10 14:17:51
67
Mickey :
They assume you know everything 🤌
2026-10-10 14:13:27
21
liz kaslim✨🌹 :
Mimi nayo find me in the office nakusurve unaenda ukismile ukinipata na chai nakugawa yangu... ni mtu kupenda kazi yake tuu nothing else
2026-10-11 06:29:39
12
Saintzx :
unadhani tukikatwa housing levy na tax ni rahisi 😭
2026-10-11 01:04:12
12
jobb.much :
umekutana na walimu wa high school?
2026-10-10 14:54:28
14
Branham :
mostly nime observe kwa ladies mtu anajifanya hakuoni
2026-10-10 18:33:14
6
Minash :
infact makosa unaeza fanya ni uende 12:00 utaambiwa ni lunch hour na imagine lunch yao hukua 1:00 then warudi saa tisa wakwambie system ziko chini rudi kesho😭😭
2026-10-10 19:43:35
9
Miss Susan 82216 :
kwanza kwa Huduma centre na Hosi😢😢😢
2026-10-10 15:57:03
11
@stake_holder :
Kuna time nilienda NHIF ku add dependant kwa hio shiet, manze Ile njia walinihundle Ni Mungu tu... alafu SHA ikakam wakavutwa wote🤣🤣
2026-10-10 14:14:58
31
mdingi :
true kabisa kwanza nilipata mmoja huduma center mombasa kwa birth
2026-10-10 14:39:08
22
wycliffe ✌️ :
kwanza nilipigwa picha ya id vibaya [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-10 14:12:02
18
️ :
Kuccps Kuna Dem fulani receptionist I intern served me and my mum well Hadi nikashangaa kunakuwanga na watu wa roho safi huku nje aki🥺🥺🥺God bless that lady.
2026-10-10 14:41:36
13
To see more videos from user @arnoldmalcom, please go to the Tikwm
homepage.