@championfm_radio: Vitu vinavyozuia baraka zako 🤣👋🙌✅🫵🫵 #ComputerSkills #ChampionFMNews #ChampionMindset #ChangeStartsWithYou

Championfm_radio
Championfm_radio
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 14:22:05 GMT
132587
4865
158
1843

Music

Download

Comments

alimama.everything
Alimama everything :
🥺they won't listen 👂
2026-10-11 11:22:16
0
josh25384
Josh :
Yes, that's absolutely true.
2026-10-11 12:09:40
0
bacharity0
Ba~Charity :
mitumba ni laana
2026-10-11 08:02:29
25
pastory_20
pastory :
psychology 🤣
2026-10-11 14:13:18
0
bupejonnathan
Loveness jonnathan 🥰 :
pastir umenigusa apo,kwahiyo nazifanyaje?
2026-10-11 13:39:27
1
visionbeare5
Vision bearer 👑 :
Serious uko sahihi
2026-10-11 06:27:26
0
emanuelmtweve3
Mtweve Longnus :
huu ni uwongo mchana kweupe .yaani nguo ninunue mwenyewe nivae mwenyewe nitunze mwenyewe kabatini halafu zigeuke kuwa mikosi daaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-11 13:12:35
7
user29468167361274
profile name :
nimeamua kwenda kutupa viatu nilikuwa navipenda pamoja na kuwa vimechakaa ila nimeenda kuvitupa kabla ya kumalizia hii video🤣🤣
2026-10-11 14:19:59
5
pigangoma77
Pigangoma :
Toa suluhisho sasa.
2026-10-11 06:45:54
3
user730652446219
Suzana mrimi :
hii ni kweli kabisa nilitunza nguo na viatu vya mwangu mdogo ila hakuwa vimechaa nilihivyadhi kwaaji ya mwanangu mwingine atakae kuja kwa mda wa miaka 5 ila nilipogawa ndani ya wiki hiyo nilipata ujauzito na sasa ninamtoto mwingine
2026-10-11 17:34:33
2
sucroz.daic
Sucroz Daic :
ushirikina uo, unafundisha watu ushirikina uo, hakuna awezae kuzuia rizki isipokua Allah mwenyewe.
2026-10-11 12:10:02
4
usermsafwa
msafwa og :
kabla hujamaliza Mimi naerewa hii huwa sipendi nachoma tena sigawi😂
2026-10-11 10:29:25
5
linahgirl77
linahgirl7 :
Ila naomba kuuliza pastor kama zinazuia barak kwanini hizohizo chakavu mnasema tusizitupe wala kuchoma moto tupeleke kwa wahitaji?maana ake tunaenda kuzuia baraka za wengine🥺alielewa anieleweshe tafadhali
2026-10-11 21:19:09
0
sarahmatinya
sarahmatinya :
kuna mtu ana nguo zake kaweka tangu akiwa na umri wa miaka 25 mpaka sasa ana miaka 62 na ni tajiri ana pesa nyingii stoo zake zimejaa nafaka, sijui unaniambia nini hapo
2026-10-11 11:32:18
3
gadafee8
GADAFEE 🇲🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱 :
kwa andiko gani
2026-10-11 18:40:39
0
million.dollar39
Million Dollar :
Biblia ipi hiyo
2026-10-10 18:05:55
2
ntemimuyug
@panyafamily :
itabidi niache kutumia simu kwa sababu mitandao inanivuluga kisaikolojia kiukweli kwa video hizo
2026-10-11 19:30:38
1
kitubhawise.juliu
Kitubhawise julius :
hilo neno ni la kweli kaabisa%
2026-10-11 15:52:56
1
bingebya
Regina :
Ee Mungu tusaidie
2026-10-11 06:43:30
2
kelejack
kele jack :
kweli ila kuwa wengine hawata kuelewa
2026-10-11 12:40:11
1
displaygasper
Display Gasper :
mbona unawasema wapare
2026-10-11 08:07:04
1
aggychris1
AggyChris1 :
Mm ikikaribia birthday yangu siku chache kabla nakusanyaga makorokoro napiga kiberiti wala sigawi vitu vimechakaa😂 vikopo kopo vya mafuta, vinguo nguo ambavyo sivaag mwaka mzima chooma mooto.... Naanza kusherekea mwaka mpya wangu saafi kabisa🔥
2026-10-11 16:34:01
2
haylt49
haylat💕 :
hii kitu kabisa vinazuia baraka
2026-10-11 05:41:43
2
kelvin.mc2
Kelvin mc♾ :
toka asubuhi ndo ume ongea point...
2026-10-11 15:08:08
3
habari.njema3
Habari Njema :
uwongo mtupu
2026-10-11 15:04:12
1
To see more videos from user @championfm_radio, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About