@pambetu.kariakoo: Kijora ni tshs.11,000/= na mtandio wake #pambetu #pambetufashion #pambetucollection #pambetukariakoo #vijorapambekariakoo

Pambe Tu Kariakoo
Pambe Tu Kariakoo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 14:48:51 GMT
46898
770
40
44

Music

Download

Comments

user5663368388222maryam
it's me🥰 :
naomb kaz
2026-10-11 08:32:46
0
veronicah_ngailo77
Veronica Ngailo :
mm nataka kwa jumla namm nikauze naomba kwa 10000
2026-10-10 17:44:26
4
gradnessabdunyato
Gradness Abdu Nyato :
naomba namba zenu
2026-10-11 11:03:18
2
user7826276827359
Kikambaa's Daughter :
mavi ya mbuzi Ra be gi ya bluu imechanganyikana na nyeupe nahitaji Kwa biashara
2026-10-10 22:02:58
3
rukia.ali29
RUKIA ALI :
nipo zanzibar napataje
2026-10-10 17:20:25
0
colethamwalembe
coletha Mwalembe :
nahitaji
2026-10-11 09:21:07
0
fai.love1
Nah Love🎀💕 :
nipeni ajira nije kuburuza
2026-10-11 06:08:28
0
suddybrown437
Suddy Brown :
naitaji kazi boss wangu
2026-10-11 07:26:25
0
shannon7241
shannon :
naomba kazi
2026-10-10 20:09:17
0
user3615329237618
priscageorge :
naomba kazi na mm nibuluzee
2026-10-10 21:36:39
0
alamokagabriel
Just Shamy 🌹 :
Muwe makini, kuna siku nilinunua kijora hakina shingo……🤣🤣🤣🤣🤣sina hamu
2026-10-11 17:59:48
0
natalia.ernest
Natalia Ernest :
vile vya zuchu vipo
2026-10-11 10:50:07
0
azizangakonda
Ibty sam :
mnapatikana mtaa gani?
2026-10-11 04:30:40
0
ninawemgeveke
ninawemgeveke :
Sh ngapi na mtandio nataka vya kuuza
2026-10-10 17:50:16
0
ruwaida.juma7
Ruwaida juma :
kaka naombeni kazi
2026-10-11 07:31:12
0
fatumajuma12
fatuma kibuke :
habr yko me naomba🙏 kazi ya kushona naweza
2026-10-10 17:51:52
0
user2107568702097
suhayrah🥰 :
naomba kAzi
2026-10-10 20:45:53
0
fariha.vijora.and4
Fariha Vijora and batiki :
ahaaaa kumbe ni ww unaoviburuza na Uzi mwembamba ndo maana vinaachia Uzi halafu unakuta kijora rangi ingine Uzi rangi ingine ,Naomba mlinde bland Sasa ukiburuza vibaya nakurudishia nishakujueni
2026-10-10 18:31:36
0
qute_sheyla
Qute_sheyla :
mbuluze vizuli mnatupa shida kwa wateja madukan wakija kununua mala uzi umeluka 😂😂😂
2026-10-11 19:07:49
0
millamillah2
millah millah cater🌷🥀🌺 :
me nakaa mkoani kaja mtu jamani anataka dela hili hili kwa 12000 akati jumla efu kumi na Moja jamani wateja mkija dukani acheni majaribuu pls
2026-10-11 13:46:05
0
shydardullah0
vanessa💦💫🦋 :
@💞Rhatty namlly💫💦❣
2026-10-10 22:33:55
2
mimah120
BINT OMAR :
@Fine Girl🌹❤
2026-10-11 21:40:07
0
To see more videos from user @pambetu.kariakoo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About