Our Bosses please,,,,,,All house manager needs respect because,,, Dawa ya PANYA haina TAX,,,, PLEASE,,,,,
2026-10-10 17:05:23
3
sheila2026_brilliant :
Who does that?? Key for the fridge?? I don’t believe that anyone would do that
2026-10-11 14:45:33
0
user925425721730 :
mimi shopping inawekwa bedroom
2026-10-11 16:44:13
0
madline :
woiiiii jano thank you Soo much Leo umeongea ukweli kabisa
2026-10-10 19:22:09
4
Ndumi Abigael :
wengine ata CCTV ziko hd jikoni
2026-10-10 17:13:54
18
⚡🦋shy gal 256🦋⚡ :
my boss is really good woman to be honest maybe she should just add my money because she's paying only 7k I have started with her two yrs now
2026-10-10 21:01:37
1
useless dude :
mimi wangu nae nampenda kuliko bwanangu ju mbona nimtreat vibaya na namwachia watoto wangu
2026-10-10 18:22:24
15
fitness♥️ :
Mimi nlikwa nafanyia daktari lakini alikuwa anakuja na chakula ya wagonjwa ya hosi eti ndio supper..akh wangui wewe rekebisha tabia😂
2026-10-10 22:36:01
13
Loveness jay :
mm hta siwezi pika nyama boss ndio hupika tena boss baba waah ninashangaa hii dunia
2026-10-10 18:32:21
9
sally ke :
imagine mm asubui nakunywa black tea esicort lunch akuna kukula jioni unakula rice gate imefungwa 24/7 bt navumilia tu mpaka dec nikienda siesi rudi maduka nayo iko mbali weuh ni kusafaa😭😭
2026-10-11 07:27:14
5
Emily Kagwainey :
tell them 👏
2026-10-10 16:14:16
0
habiba :
siwezii treat mtu vibaya mwenye namuachia mtotk
2026-10-11 12:51:14
2
Spencer omar :
imagine Hadi anaku serve hyo siku
2026-10-11 05:59:34
3
josy josyJosephine Odongo :
aki hizi comment nasoma wooi , l thank God kunipa boss malaika , mungu nilindie boss wangu
2026-10-11 16:30:09
1
Trizah :
Unasema funguo.nilikuwa nabebewa remote ya tv nishinde hivyo.😊😊😊
2026-10-10 17:10:41
6
celle :
unasema ukweli my dear
2026-10-11 07:17:15
1
Nonso Diobi :
Kuna moja ako Hoteli kubwa hapo Kitengela town, yeye hubeba hata blue band akienda job. Mulifanya makosa anakuitia beshte wake wakusomee
2026-10-11 09:05:03
0
susankabui :
ukweli lakin tulizoea
2026-10-11 06:46:32
1
ANN CHRIS :
natafuta kazi
2026-10-11 08:52:24
0
vero :
kwani fridge hua inafungua ama juu yangu niya githeri na maziwa 🤣🤣🤣
2026-10-11 05:26:52
4
Monicah Amoit :
mimi waku ako sawa
2026-10-10 18:32:30
3
Bidii Renewed :
na anamwachie watoto?
2026-10-10 18:20:59
3
Neema :
mimi akibeba atakuja kupika siezi pika
2026-10-10 19:10:53
3
Teresa❣️❣️❣️🥰🥰🥰 :
kweli kabisa wadhani sisi hatuna mangao kam umoja1 uone mambo
2026-10-10 18:58:58
4
winnie🥰🥰🥰 :
nlikuwa house manager wa CEO wa insurance fulani , lemi tell you maina nyama kilo moja nlikuwa nagagwa nipike mara nne, hile njaa ilikuwa kwa hiyo nyumba sometimes nlikuwa nakunywa maji dio tumbo itulie kidogo
2026-10-10 20:29:22
2
To see more videos from user @janomaxofficial, please go to the Tikwm
homepage.