Uyu dada (white maria) yupo wapi jmn sijawahi muona apart from that movie ety💔😂
2026-10-10 19:18:37
16
Mwanaidi Rama :
movie gani hii
2026-10-23 18:57:01
0
__He's Akram :
tatzo sio movie ni izo sound effect znatisha😁😂
2026-10-11 06:02:22
108
Mr Peace💀🥷 :
Wanaoangalia usku tujuan apa😭😂😂
2026-10-10 20:49:03
58
Lucky❤️ :
Bdo naogp mpk sahv 🥹🙌
2026-10-11 14:40:16
10
MissDee♾️❤️ :
najua hamuwezi amini ilaa me movie za kutisha za bongo naogopa had leo hii😂😂
2026-10-11 04:14:08
35
Official_Mwami🦋 :
Mungu wang hii saa 7 nlale mie xax 🥺😁😁
2026-10-10 22:09:55
4
💕 💫 :
Kuna movie cjui inaitwaje kuna mtu alinunua kiwanja eneo ambalo zaman palikua na makabur sasa mauzauza yakawa yanawatesa sanaa cjui inaitwaje msaada
2026-10-20 12:57:15
1
💎first born 🌊 :
nilikuwa na seleleka mbio hizo sio kawaida marathon ikasome😂😂😂
2026-10-11 10:25:42
8
La reine du16 octobre🎂🍾🎊❤️ :
Mi naogopa 😂😂
2026-10-11 06:38:56
2
Bbyzuh💔 :
Ile jiran anawasidikiza ili afungeee mlango akiwaacha tu njiani mnakimbiaa😂😂😂😂😂😂🏃♀️➡️🙌🏿
2026-10-10 19:30:07
10
jay 🥰 cute :
Bora walio kua wanaogopa kurudi nyumbani,me nilikaa macho wazi Hadi asubuhi nimeshika bible
2026-10-11 17:56:29
10
Gabby mtush :
nakumbuka nikiwatch hii movie pekeangu alfu kakangu akaja kwa nyuma akanishika bega nakwambia niliruka nikithani ni white maria🤣🤣🤣
2026-10-10 23:28:11
1
Miss Momo🦋 :
Nakumbuka kipindi hicho Nipo primary nilitumwa busale Kuuza mahindi nikamuliza tu nikaingia Banda la video aisee nakutana na hii movie Yaani nilikoma wakati wakurudi home ukiangalia pori pori mpaka kufika mwakaleja kule nyieeee😂😂😂😂
2026-10-12 13:28:03
2
Grace🍭🎀 :
jina la movie
2026-10-11 15:15:44
2
Bahati Makia :
Sitaisahau hii movie ilinitesa kwakuiota
2026-10-11 15:56:35
4
Cash F.tds :
Sikutazama sehemu hii nilipokuwa mdogo; ni sasa tu ndipo ninapojua ukweli wake.
2026-10-13 10:01:04
0
Curlson cidirance :
rip kanumba
2026-10-11 10:52:59
3
Prince Patrick Ke 🇰🇪 :
kanumba alijaribu sana RIP Legend
2026-10-10 23:47:29
3
Neytham Minoni🇹🇿🇨🇩 :
Kwahyo zaman me nilikuw naogopa mtu kavaa kanzu usiku 😂😂😂😂
2026-10-12 16:28:56
1
💞faiqan💞R.N👑 :
😂😂😂move enyewe kumbe inachekesha ety ndio nagundua saiv
2026-10-10 22:49:26
0
Kayesu Sarah :
ndo mimi sasa
2026-10-10 16:11:54
4
bad❤️❤️girl✅ :
Me mwenyew mpaka saiv nikitumwa ndani alaf umeme ukatike uuuh kwisha mm
2026-10-11 18:15:44
1
kai :
kulikua na mchezo unaitwa kisiwa cha wachawi huo
2026-10-15 06:28:09
1
To see more videos from user @bongo_movies, please go to the Tikwm
homepage.