Historia imeandikwa kwa wino wa Dhahabu na Tanzanite.
2026-10-10 16:32:24
199
Final Say :
MUCH RESPECT BEAUTIFULL JIHAN
2026-10-10 18:57:22
0
Ney❤️❤️ :
bora ata nisingejua haya mashindano ya miss grand maana adi nimejua kuwa nina presha jaman 😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽 yan mtu unabana adi mpuzi kusubili wataje mshindi khaaaa