@bongofive: shangwe la WaTanzania baada ya Jihan kutangazwa Miss Grand International 2026

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 16:15:34 GMT
175894
19776
499
941

Music

Download

Comments

dianafr31
Ianah🪷✨ :
This is Tanzania bwanaaaa😂😂😂😂😂😂ghaaaai nafraha veeepe
2026-10-10 18:06:27
1
esthernanji
Essa🖤❤️‍🩹 :
simba tumefungwa
2026-10-10 17:06:32
115
standegloire
FOFO STAN🇹🇬❤️🇨🇮 :
Whole Africa youpiiiiiiiii.. kiss Tanzania 🇹🇿 from Togo 🇹🇬 ❤️❤️❤️
2026-10-10 19:52:57
1
glory_ngonyani
glory_ngonyani :
haya hili limeisha tuleteeni lingine nchi yetu atutaki ipoe jmn 🥰🤣
2026-10-10 16:56:30
684
uazuri05
Uazuri🌹 :
Anko kaondoka na kijiji 😂😂🇹🇿🙌🏾
2026-10-10 17:06:04
215
kichunana5
Kichunanah🥀 :
Huku jihan huku huku simba Ila Haya mabaraka 😭hiyo lini hiyoooooo 🙏❤️🥹🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-10-10 18:39:01
73
cindy.ananya
Cin.Sorry :
congratulations Tanzania 🥰👑💐 from Thailand 🇹🇭
2026-10-10 19:46:49
4
mimah5149
mimah :
tukiungana ivi kuhusu mama au bc
2026-10-10 18:21:59
155
crazy_efootball00
Crazy_Efootball001 :
Haya hilo limeisha aya tuleteeni deni la taifa tulishambulie
2026-10-10 18:18:27
35
vannymarviq
Vanesa🎀 :
It's my birthday Jihan kashinda, simba karudisha goli kweli hiyo Leo hiyo
2026-10-10 17:33:37
96
zeelasweet8
zeelasweet8 :
CONGRATULATIONS from 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
2026-10-10 18:58:26
2
ashirafucharles
𝐀𝐒𝐇𝐑𝐀𝐅𝐔𝐋 𝐂𝐀𝐒𝐓𝐋𝐄$ :
Congratulations to all the Africans who put in the effort to reach this point.
2026-10-10 17:45:55
1
glory.fabian
Glory Fabian :
najivunia kuzaliwa TZ walah 😂😂😂😂😂😂😂😂wabongo Wana upendo aiseee wakiamua lak🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-10-10 17:27:10
76
ms.keitty1
MS KEITTY COLLECTION 🛍️👗 :
Tuna like wapi na kucomment jmn mm ndio nimepat bando
2026-10-10 16:52:42
31
lucydeprecious
lucydeprecious :
hiii Tanzania bhna
2026-10-10 17:50:30
0
coregeouslady8
Coregeous lady😘 :
Tanzania ni moja ttu 🤣🤣🤣
2026-10-10 16:44:52
41
maryam67739
Maryam :
Nko bize na Twalibu mie😂
2026-10-10 18:04:39
9
festo4real_
Festo Lodrick :
Lkn mm sijawai Ona Kama hii wakuu sio mwanasiasa sio mtu wa system ni mtu tu wa kawaida Ila watanzania tunaupendo sana.
2026-10-10 18:42:46
13
_celeste_000
Celeste :
Umu tuuu
2026-10-10 19:41:28
5
nenebreezy
NeNe :
muhim watanzania tukiamua ni wamoja sanaaa
2026-10-10 17:11:26
13
z.leonard1
vee@ :
Niambie taji lipo nyumban bac maan sielewi🇹🇿
2026-10-10 18:11:53
7
naomcharles2
naomcharles2 :
zuchu alienda kwani
2026-10-10 16:48:08
26
misingielectronics
misingi_electronics :
leo wamama wanafuraha sana 😀😀
2026-10-10 17:35:17
6
travisfaustine
Travis Faustine :
Mungu leta Elnino huruma sio malezi😊
2026-10-10 21:32:38
1
zephaniahjescah
Jescah❤️🌸 :
Na simbaaaa 😂😂😂😂❤️
2026-10-10 19:22:50
3
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About