Salar yangu ni more than io 30 k na nahome iii mwaka sirudi ,east west home is the best 💯🤲💪
2026-10-10 17:50:13
4
Anjelina hidzano :
Fulusi muhimu kuliko ndoa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-10 19:13:02
1
Lynn Paula wa Qatar 🇶🇦🇬🇧 :
haha [Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-10 22:01:21
1
❤️Tracey@ :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ni ukweli hii itafanya watu wabaki singulars
2026-10-10 16:24:08
4
SOPHINA PENDO :
sasa Niki home nani atanilipa every month jmn[Innocent][Innocent][Innocent]sirudi kenya
2026-10-10 21:13:34
1
As good as best 🤗🤗 :
Ni ukweli pia mm hii pesa Ina change my thoughts 💭💭 the moment I think of getting married I feel scared 😰😰
2026-10-10 18:38:04
1
Vivian💞💞 :
mbona nikae Kwa kina ndoa 😁😁 kama yatima 🙈 heri waiguru anipigie kelele lakini mwisho WA mwezi ACC iko Sawa,who does that 😡😂😂
2026-10-10 16:46:55
5
Caren👑❤️ :
[Red heart]
2026-10-10 21:55:08
0
Caro ka Nyandarua :
nikikumbuka ndoa nawachiwa 200 naongezea contract juu ya contract
2026-10-10 18:40:31
7
Essie Nanjala :
Kuna maisha baada ya gulf
2026-10-10 21:09:26
1
libra girl back up :
Mimi nikama watafunga safari wanikujie sasa juu sioni nikirudi +254 soon 🤣🤣
2026-10-10 19:10:16
2
mamake boys :
😂😂kuolewa ni ngumu ukikubuka end month
2026-10-10 21:02:55
1
Sarah mpenda amani🙏🙏♥️♥️ :
Nkikumbuka sikuawahi achia Ata 50 bob wacha ningangane nijijenge kwanza ndo ni 2028
2026-10-10 18:58:19
2
Monicah Gathu :
umesahau laban
2026-10-10 18:29:12
1
mbelembolekhu :
niuwe 😅😅😅😅na sio uongo Alafu saa hii usiku akuna kulala ni kufanya shopping 🛒🛒 ya snacks 🥨 unakula Pole pole kwa room ukicheka peke yako na miguu juu eshii free wifi aki wewe 🤣🤦🤦 usifanye nizeeke gulf bure
2026-10-10 20:29:01
1
See👌🇰🇪 :
🤣walai hata nashangaa vile nitainama nafua😂
2026-10-10 19:12:46
1
teresia eunice :
kabisa bro
2026-10-10 23:24:21
0
Mtoto wa mama Gladys Khavele :
Maajabu haya wee
2026-10-11 00:31:57
0
wambui :
[Tears of joy]
2026-10-10 22:41:11
0
Mary safi :
mmi mwanzo sioni kama nawenza pelekea ati bwana maji kwa bafu sahi 😂😂 uliskia wapi
2026-10-10 23:08:37
0
kebirigo chinunda :
umeamua kuongea ukwel 😂😂😂😂😂atuendi
2026-10-11 00:07:21
0
crazy 254 :
ati waaau
2026-10-10 22:48:41
0
crazy 254 :
fact
2026-10-10 22:49:18
0
Winnie Leah 💓 :
Mimi kama sio watoto hhhm,hao ndio naeza Fanya niende nitulie
2026-10-10 23:06:32
0
To see more videos from user @calebinzofu, please go to the Tikwm
homepage.