Huyu jamaa anaonesha alikuwa na chuki na Abuya,alistahili straight Red card ♦️,hamna ubishi Simba ushindi wao ulianzia hapa.Poor officiating of the game!!Bila shaka matokeo yalipangwa!!
2026-10-11 09:49:51
2
ISUMO@85 :
straight red card
2026-10-10 20:23:38
0
zil one tz :
direct red card
2026-10-11 10:17:01
0
JC@macha :
Simba Kila mechi mchezaji wa Yanga anapata majeraha shida nini 🥺🥺🥺🥺
2026-10-11 03:45:37
5
MTUNDI JR :
atapona mungu msaidie mana kutoka yeye tuu timu ikaanza kuyumba
2026-10-10 18:54:32
6
msafli chandugu :
ata lefa leo kayumba kidg iilikuakadi àrafu mbonass atuwaumizii wàchezaji kilamdawanatuumizia mchezaji wetutukwann
2026-10-10 19:46:14
2
user1877226711302 :
pole sana duke
2026-10-10 20:06:08
2
dorkas dabaly :
kila mechi simba wanatuvunjia mchezaji hata jobu ilikuwa daby
2026-10-10 20:17:48
5
yanga arsenal :
lafu kama hii azizi alipewa red
2026-10-10 20:30:52
1
Aliki :
red card
2026-10-10 19:57:13
3
shole masaka :
pole kamanda utakaa saw tu
2026-10-11 05:06:46
1
dalini yusuph :
polee
2026-10-11 05:17:35
1
youngloverboy49 :
ulikuwa clear red card
2026-10-10 20:09:41
3
Hadahayo :
refa leo kayumba lakini kwa simba leo kachezesha vizuri 🤣
2026-10-11 03:34:22
2
lishark :
mungu jalia uzima
2026-10-10 20:12:06
2
Chuse brave :
ilikuwa rwd cad iyo sema mambo ya kubalanc mchezo
2026-10-10 20:00:06
2
bk boy :
hii kitu ndo imetutoa mchezoni leo ata msimu Jana kama hivi hivi Dickson job akichezewa faulu mbaya na Inno josse loemba akaenda mejeruhi Leo tena Duke abuya ana cheweza vibaya na libasse gyueye.hili swala linaitaji Sara kabisa mwenyezi Mungu nakuomba ukawaponye wote wachezaji wanao umwa na
wake imala waweze kurejerea kwenye nafasi zao[Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-10-10 20:42:13
3
Witines Anania :
pore sana utapona mungu akusimamie kpz
2026-10-10 20:03:26
2
Cadabr@h :
simba wamemsema sana ili wabebe na katka hili wamenufaik alajiga kawabeba sana tu ata hii ilikua red
2026-10-11 05:47:05
2
rama haruna :
pole sana utapona 2
2026-10-10 19:58:19
1
mudiz Tz :
uzuni dah
2026-10-10 16:57:06
1
To see more videos from user @mwiny12dax, please go to the Tikwm
homepage.