iyoo Leo iyoooooooooooo[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-10 17:30:03
1
cute naah🥰 :
iyo Leo iyooooooooooooooo yanga mabegani💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
2026-10-10 17:15:17
12
M@"TO"RO"K@" :
a few moment later
2026-10-10 18:22:55
0
mgossi, mkuu :
hiiiii bs 🥰🥰🥰
2026-10-10 19:26:41
0
SHAADOW〆GAMING🇹🇿👑 :
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁ilooooooo
2026-10-10 19:14:25
0
Salama cute 💝 :
iy leo
2026-10-10 17:19:40
4
Jacqueline 💖 :
tushafungwa mbili subirini kwanza presha yangu ikiwa Sawa nitawaeleza🥺
2026-10-10 17:53:28
2
🌹❤️🥀 :
Jamani wanaYanga wenzangu, leo Simba ametupiga 2-1, lakini msisahau kwamba kufungwa mechi moja hakufuti ukubwa wa Yanga. Hongereni Simba kwa ushindi wenu, leo ni zamu yenu kufurahi na kutucheka. Ila msifurahi sana, maana mpira una marudiano na majibu mengine yanatolewa uwanjani, siyo kwenye group. Sisi ni Yanga, hatuachi timu yetu kwa sababu ya kichapo. Leo tumekubali matokeo, lakini mapenzi yetu kwa Wananchi yako pale pale. SIMBA LEO, YANGA DAIMA! WANANCHI TUMEUMIA LAKINI HATUJASHINDWA KUWA WANANCHI!
2026-10-10 18:53:54
0
fadhila khabduni :
yanga bingwaaaaa💛
2026-10-10 17:08:17
7
dolphin :
iyo leeeeoooo yanga oyeeeeee
2026-10-10 17:21:02
1
janeth mussa :
hiyo leoooo hyo wana yanga
2026-10-10 16:49:48
1
siah💕💕💕 :
oyooo iyo leo iyo Jihan kashinda yanga imeshinda adi raha