@blingblingzanzibar: Replying to @officiallilly77 kazi nyengine ya Pears...

Dr|BlingBling
Dr|BlingBling
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 16:27:22 GMT
25206
674
53
46

Music

Download

Comments

user9042011363550
Hilda🥰🥰 :
Sabuni imejua kunitia chunusi hii. kweli kila mtu na ngozi yake😌
2026-10-11 02:54:23
11
muna_love16
Muna Love ♡︎ :
Blingbling mmoja tu salute sis ❤️❤️❤️
2026-10-10 17:12:52
5
shaykhuu07
Shaykhuu :
Jmn huku hakutakiw chengne zaid ya Maji tuu kiafya
2026-10-12 21:15:48
3
cutetalha39
cute Talha :
asante madam kwa kutufumbuwaa macho[Perfect score][Perfect score][Perfect score]
2026-10-10 16:37:23
2
nashuuomar
nashuuomar :
sasa hiyo NAWIA haiwezi kuleta infections au mi nimeelewa vibaya daa mzuri
2026-10-11 02:12:31
3
riry104
Riry :
kesho inshallh nakuja kuifata nije ninawiee😂😂
2026-10-10 19:24:42
1
s0321340
s :
NAWIYA!
2026-10-10 18:05:46
1
dianadey5
diana :
kuanzia leo siiti jina tena pears naiita nawia mana naijuwa kama pears kwa jina lkn ni sabuni nzuri sana
2026-10-10 22:04:03
1
mrs.najjash
Amira :
Utajuaj e km yenyewe
2026-10-29 06:03:18
0
officialmash5
Officially Masha❤️🥰 :
Nilimuona huyu dada live dada anarang nzur mashaallah sana. Sana❤️❤️
2026-10-22 15:00:31
1
user2283765762341
masufuriaxo :
nakogea km kawaida kumbe ina kazi yake
2026-10-18 14:16:58
0
kassimnassor5
fifi 😘 :
ni kwel ukitumiya unatongozwa kwel ila mie inavyo nifanya
2026-10-15 02:51:43
0
user8034240823827
Fofiii fashion😘😘😘 :
Inapatikana wapi
2026-10-12 06:24:59
1
runnymakeup02
khairun makeup artist :
inauzw kias gani
2026-10-11 04:11:19
0
awenauba
Ena🥰 :
namb kipnz naomba iyo sabuni
2026-10-10 17:36:48
0
nanacute9167
nanacute❤️ :
Nmejikuta nachek tu dada 😁
2026-10-11 14:27:01
1
_reymar3
Glow &Flavor Hub :
mbona ayoo marifaa unatubania haha
2026-10-10 18:08:25
1
officiallilly77
@LEYLA BEAUTY ZANZIBAR💅💆✨ :
😂😂Baaaas
2026-10-10 17:44:23
1
boyouk_10
boyouk :
he he heee kipez
2026-10-12 14:02:30
0
rakita170
rakita 060 :
mmmmh
2026-10-11 23:14:44
0
user713306953
user7265009389357 :
bei gani na tunawez kuipt wp
2026-10-22 21:01:12
0
hajra.heena
hajra Heena🌹 :
shingp
2026-11-04 22:40:30
0
mairaa5408
Anfal :
hata Ile Johnson Johnson na nawia Wala Haina mashara nikinunua ya mtoto nanunuwa na yangu maana mtoto anatumia na mm natumia yangu nainjoi kweli
2026-11-03 09:50:55
0
hussfaty1
Mrs Z :
bei gan kwan
2026-10-21 14:40:30
0
agnes.george15
Agnes George :
Yani alafu ndio naogea 😂😂
2026-10-10 18:32:01
0
To see more videos from user @blingblingzanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About