@mulastar1: Jihan Alipotangazwa mshindi Taji Kuu la Miss Grand International 2026 Jihan Dimack ameandika historia kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kutwaa Taji Kuu la Miss Grand International tangu mashindano hayo yalipoanzishwa mwaka 2013.
kiaje na tulishindwa kukoment na sharing naomben msaada[Heartwarming]
2026-10-10 16:47:33
0
madamu nuh 🥰🥰🥰 :
najivunia kuwa matanzania nimetoa machozi
2026-10-10 17:48:29
1
its mom deer :
nifulah ilioje 🥰🥰
2026-10-10 21:29:51
0
EMer :
😄 Leo nnaraha jmn
2026-10-10 20:41:16
0
Vanesa kombe :
io leo iyooooo🥰🥰🥰
2026-10-10 21:10:32
0
iam_Salmah💕 :
2026-10-10 21:01:42
0
Neema j wandela :
simba imeshinda na ww umwshinda dah raha
2026-10-10 19:37:11
0
Elizabeth 🥰🥰 :
mwandaaji mungu akubaliki umetenda haki hujala rushwa tumeshinda kihalalali kabisa tumekesha tunasali kura tumepiga Kwa pesa nyingi tumecoment Hadi migongo inauma ila watanzania tumeshinda Kwa Umoja mungu atubaliki sote 🙏🙏🥰
2026-10-10 19:39:57
0
nas :
Huyu muhindi unatuambiaje mtanzania aiseee
2026-10-10 19:46:38
0
doratha🎀🌹 cute :
nimejikut nalia🥹🥰🥰🥰,kunanamna ni upendeleo WA MUNGU Tanzania tumejaliwa mno🙌🙌🙌🙏
2026-10-10 23:22:50
0
Nelly :
bora huyu anenipa furaha leo man usku ulikuw mgum san yan ila yanga
2026-10-10 21:18:18
0
Jojo🍂 :
Kwani imefanyika nchi gani jamani mapenzi yataniua mimi
2026-10-10 19:42:44
0
Am Aggie 🦋 :
waooh hongera
2026-10-10 16:33:10
0
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm
homepage.