@uhondo.tv: #VIDEO : Mrembo wa Tanzania, Jihan Dimack, ameibuka mshindi wa taji kuu la Miss Grand International 2026 katika fainali ya mashindano hayo iliyofanyika leo, Oktoba 10, 2026, jijini Bangkok, nchini Thailand. Kwa ushindi huo, Jihan Dimack ameandika historia kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kutwaa taji kuu la Miss Grand International tangu mashindano hayo yalipoanzishwa mwaka 2013. #UhondoTVUPDATES
Uhondo TV
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 16:33:26 GMT
Music
Download
Comments
Ed☝️☝️ :
where is Tanzania?
2026-10-10 19:34:54
0
Ruqaiya Yassin :
TANZANIA for the first
2026-10-10 20:09:13
0
scopion :
Fantastic
Ongraturation JIHAN
2026-10-10 16:46:36
3
Hii_it's wadhah😍🦋 :
Nafurah atar jmn na Simba ifungeeeee uwiiiiii🥰
2026-10-10 17:13:03
7
Bakr- :
Nimeipenda fair ya mpinzani wa Jihan
2026-10-10 17:07:29
11
Kijana Msomi🇹🇿 :
Tanzania imeshinda kimataifa, simba imemfunga yanga kwa zarau.... wikendi hii tumebarikiwa😂
2026-10-10 19:24:48
8
sara :
waooooo
2026-10-10 16:56:18
1
stellamlaponi :
wao hongera kwake
2026-10-10 16:58:09
1
Akusa 💓 :
Tukitak jambo letu amna wa kupinga🤣🤣🤣🤣🇹🇿🔥🔥
2026-10-10 17:16:11
4
Neyh Ney🥰🇹🇿 :
Jmn leo ni furaha day au mn uwiiii simba and miss grand
2026-10-10 19:00:11
1
jeff :
miss grand ndo nn
2026-10-10 19:00:52
1
Road lofaa 🇹🇿 :
congratulations 🎊 👏 💐 🥳 🎊 👏 💐
2026-10-10 19:12:11
0
Rock g simbajike :
woow
2026-10-10 18:25:20
1
Khaleed Operator :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoMi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-10-10 21:26:47
0
villaparkclassicjersy :
KENYA TUNANGOJEA CONTRACT 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-10 18:41:28
1
cute j🥀🇹🇿 :
jaman Jihan wetu🥰
2026-10-10 17:05:11
1
Michael :
ndio miss world? hongera sana kwa mtanzania miss jihan
2026-10-10 18:58:27
1
KIDDPAP 48🔏 :
Uyu ndo mke mzur kuliko Wang jamniiii 😳
2026-10-10 19:17:06
1
CyliverG :
2026-10-10 18:56:58
1
𝔦𝔨𝔞𝔥𝔙𝔧r07babe🥰🥰 :
jamn Tanzania ndo imeshinda hayo mashindano
2026-10-10 16:51:47
0
Alfa papa :
Always 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 ❤️❤️❤️❤️❤️
2026-10-11 03:27:54
0
Mainel frend 🌹 :
msukuma wetu🥰🥰🥰🥰
2026-10-11 03:36:44
0
yebo yebo :
wakenya wapo humu jamaniii siwaskiii wakishangiliaaa✨️✨️✨️
2026-10-11 01:26:42
0
Mbilitanotano :
ASANTE SANA DADA JIHAN KWA KUNIWAKILISHA VYEMA MIMI MR.TANZANIA. UBARIKIWE SANA
2026-10-10 23:33:18
0
Mama_Frank💫🧸 :
TANZANIA. YA. WASUKUMAA
2026-10-11 03:56:03
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.