mm niko nairobi pls nskitsji tafsdhali I hope chs Enoch na yuda
2026-10-11 05:03:06
1
mwiks :
Hello bro I want those books
2026-10-11 05:10:46
0
max :
l need that bible 🙏 please
2026-10-11 15:51:23
0
PRIEST FESTO SILLA :
cha enock ninacho
2026-10-11 04:06:08
0
Nicholaus Kabanza :
nitumie hard copy
2026-10-10 19:32:56
0
magdarena :
we umekipata wapi? usitupotoshe
2026-10-10 19:34:27
7
Goodafrican :
usipangie ...tumevikataa kwa sababu vilitungwa tu na watu
2026-10-10 21:58:14
8
BILONCIO :
Shingapi unaziuza soft copy
2026-10-11 05:53:12
0
Jayce :
Kuliko nipoteze muda kwa Mume bora niwe nasoma hiki kitabu
2026-10-11 04:04:15
8
Dr michael. :
Mtu akitaka kuandika anaandika tu hata mimi naweza kutafuta uongo wa vitu ambavyo havijaandikwa kwenye biblia ila swali yeye je alivitoa wapi?
2026-10-10 19:46:10
16
kinyonga :
the council of nicaea 325AD ndio walipiga kura kumchagua yesu kuwa character wa kimungu na wafuasi wa athanasius o wakapewa ruks aya kuandika biblia😅
2026-10-10 17:51:46
7
seiphshaphyy :
ukumbalini uislamu kur ani imekusanyayoteayo ukweli na uwazi
2026-10-10 18:59:38
6
miss macha :
Ethiopia si awajatawaliwa sisi tumetawaliwa na ndo maana wametuchakachulia
2026-10-10 19:38:29
6
Moxies dot Com :
Kuna watu hawajui kama biblia ni summary tu illa kunavitabu vinafafanua biblia kwaupana zaid na vinaeleza had mwanzo wa uchawi ulikoanzia
2026-10-10 20:42:18
7
kaluwasande :
kitabu cha Enock kinaelezea siri nyingi za mungu kwa7bu enock alibebwa na kupelekwa mbingun na kuona siri nying na alivyorud dunian alianza kuwa kinyume na maadili ya mungi alianza kutengeneza silaha kali na mengine mengi kwhy kama angebak zaidi bac hyo nuclear mngeshuhudia zaidi
2026-10-10 20:17:24
6
Mabula method :
nahitaji kitabu nipo makongolosi
2026-10-10 16:51:49
5
user2794595976574 :
napata wp icho kitabu
2026-10-10 18:01:09
5
miliam :
tunaogopa kufufua uchawi wa ajbu
2026-10-12 04:49:24
1
cien :
huyo Enock, Mathayo, Luka ,Yohana bila shaka kuna lugha walkua wakiitumia kuandika hzo nyaraka, na bila shaka Biblia ina lugha yake original ambayo si kiswahili wala kingereza, yaan lugha iliyoandikwq awali kwnye nakala ya mwanzo au za mwanzo,, yan tukubaliane hz Biblia za kingereza, kiswahili kigiriki n.k ni tafsiri ,swali langu ni je ,original iko wap, haw wanao tafsir na kuandika Biblia kwa lugha zetu vp kama kuna maneno wamepindisha kwa bahat mbaya au kwa makusudi? si tulipaswa kwnye hizi Biblia zet za sasa paambatanishwe na maandish ya ile lugha asili ili tujihakikishie kwamba hakuna editing ya maneno?? kwann wanaficha nakala ambayo wanatumia au walitumua kutengenezq hizi tafsir??
2026-10-12 06:03:03
0
Eva Akyoo :
nakipataje
2026-10-10 19:12:49
1
Prosper, JN ✅️ :
Maria Magdalena ( Maria wa Magda) ndo muandishi wa kitabu kimojawapo cha Injili ambacho kipo kwenye biblia. Ukisoma kitabu hicho utagundua ni kweli Maria alikua na maarifa makubwa na ya siri zaidi ya ulimwengu huu
2026-10-11 09:23:38
3
asteriashironga :
havikuwekwa katika biblia ila ila mkatoliki akuvichukulia kuwa havifai. ndio maana kunakitu tunaita mapokeo je yanapatikana wapi nipamoja na vitabu hy
2026-10-11 19:07:14
1
Dunia Swalehe :
tunakipataje
2026-10-11 07:37:51
0
To see more videos from user @mm.makaveli, please go to the Tikwm
homepage.