@salu_beats: umegundua mama yako anafanyi hivi ungefanyaje 😭 #mzeewapoint3 #ugandatiktok🇺🇬 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿

salu_beats
salu_beats
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 16:52:14 GMT
106157
5596
276
227

Music

Download

Comments

m6699h
man Scott :
part two 🤣🤣🤣🤣
2026-10-11 05:19:30
0
rajabmboryo
happyness joji :
pole san mama
2026-10-10 20:16:54
0
user57685307805991
tiger :
Pole san mama
2026-10-11 05:37:55
0
ispekta.ndori
Ispekta Ndori :
mh weacha tyu
2026-10-10 18:17:49
0
yohana.seleka1
yohana seleka :
pole Sana mama mm nafukuza wanamuke
2026-10-10 19:09:55
16
aliomarali359
Ali omar Ali :
nafile nmpda mama angu
2026-10-11 11:19:48
1
nelsonnickson257
Trenox 77 :
huyo mwanamke namfukuza chapu tu kwa maan nikimpoteza mwanamke huyo nitapata mwengine ila nikimpoteza mama sitaweza mpata mama mwengine 🥺🥺🥺
2026-10-11 07:04:22
4
pozzeew
pozeew :
pole saña mama
2026-10-11 07:33:58
1
paschalmathias429
🧠 :
pole sana mamangu wadada wa mjini ndoo walivyo🤔😭
2026-10-11 13:29:51
1
fadheelzanzibar
Fadheel Zanzibar :
[Machozi ya furaha][Machozi ya furaha][Machozi ya furaha][Machozi ya furaha]Napgiga kuliko mwalimu wa madrasa
2026-10-11 05:28:36
4
eunicekimario6
Eunice kimario :
utanisea mama angu nikiwa sipo ila.nikiwepo🥺
2026-10-11 08:35:05
2
men68495
MEN :
nauwa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭japo inauma
2026-10-11 07:29:12
1
shamry7584
shamry :
nachokifanya me mungu ndy atajua
2026-10-11 04:44:13
2
john.masudi16
john masudi :
mama ni mama
2026-10-10 17:52:33
2
sapwita
ninja tz :
inauma
2026-10-11 04:09:06
1
marym.aboubakar
Marym Aboubakar :
maisha bila uchoyo yanawezekana
2026-10-11 16:57:57
0
mabulamabula38
Mabula Mabula :
labda xio mama angu mm
2026-10-11 07:04:35
1
yasmin.gaza
Yasmin :
wow mama
2026-10-10 17:48:40
1
user90079215177131
hashim nuhu :
bila huyo ungempata huyo mmewako yani wanamke wengine dah imeniuma san
2026-10-11 06:04:40
9
shaheer0621
SHAIMA 💦💯🫂🙌🤲❤️ :
Hii ni kwel au mbon sielw
2026-10-10 19:04:21
1
mashaka.jr
Mashaka Jr""" :
polisi wananijia
2026-10-10 18:16:30
1
mariel.g67
mariel G🥰😋 :
kwaninavy muheshim mumewang yan mapenz ya mamamkwe mm kuyakosa nahis nimekosa kilakit maan bila yey huy mwanaum mmh🥺
2026-10-11 17:16:14
0
hamisimusheh5
Hamisi Musheh :
pole sana mama mimi namuacha mke
2026-10-11 12:37:59
1
mtambulang..r
Mtambulang. R :
Ahaaaaaa! nakata nafunuwa
2026-10-11 17:18:54
0
user8182067100014
jam jam :
wazazi wetu wanateswa Sana na wake tuwalee wazazi wetu
2026-10-11 17:24:09
0
To see more videos from user @salu_beats, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About