PUMZIKA KWA AMAN DADA JAPO KUWA TUPO MSIBANI LAKN HATA MWILI WAKO HATUJAJUA NI UPI ILA HATA WATAKAPOYALETA MAJIVU YAKO TUTAYAZIKA HIVO HIVO KWA HESHIMA BWN🫡 😭😭😭
2026-10-11 04:28:05
344
bint mwaijande :
mwee pole
2026-10-11 06:22:11
0
mAsanjA :
pole jamn
2026-10-11 09:19:49
0
kulwa ❤❤🖤🇹🇿 :
inaumiza san jamn😭😭😭😭
2026-10-11 12:15:49
0
upendo Justin :
poleni san
2026-10-11 10:10:10
0
Neema Neema :
Anayechungulia dirishani ni Baraka??
2026-10-10 19:48:45
121
uR boY jaZzie 🦅🔋 :
Daaah🥺🥺 Rest in Peace 🪦 Dr Helina Juma Msese…. Daima nitakukumbuka😭 my love for you was pure
2026-10-10 18:50:13
46
Officiallee24 :
ILA MOROGORO KUNA NINI? TUNATAKASA HUO MJI KWA DAMU YA YESU. MARA NYINGI AJALI MBAYA NA HUKO🥹🥹. MIMI NAONA SAFARI ZA USIKU ZIONDOLEWE TU KAMA ZAMANI🥹🙌🏽.
2026-10-11 05:29:12
50
It’s Her😋🌸🌱. :
Kuna sisi tunaosafiri bila kutoa taarifa popote jaman tujitahidi kutoa taarifa hata kwa mtu mmoja ty wa karibu unakoenda na usafir utakaotumia 🙏Poleni sana
2026-10-11 08:07:59
27
Nunuel🐾🦋 :
Iness wetu😭🙌💔Gone too soon. you and your son dying on spot kwetu ni pigo😭 Nenda salama mamaa Jeshi litakuenzi daima.
2026-10-10 19:19:56
1
Marck PhD :
2090 wote tuliocoment hapa tutakuwa tushaimbiwa huu wimbo wa parapanda.
2026-10-11 10:28:50
8
Nittha🦄🦄 :
Jamani tusali sana sana bila Mungu haya maisha ni hatari walio elewa tusali tu
2026-10-11 06:11:39
38
Asia Ahmadi :
Hadi Natamani bola ningezaliwa na maono ninge kuwa nazuia vitu kama hivi visitokee Jamani 🥺
2026-10-11 07:47:49
20
Rayninooh :
Namuona brow wangu soloo hapo mbele😭😭 karushwa nje kichwa kimepasuka jmn tunazika mwili peke ake kwel eh Mungu weeh😭😭😭
2026-10-11 05:47:53
29
MR G :
Sawa kifo ni kifo,,ila Kuungua na Moto ni maumivu makali jmn😭
2026-10-11 05:06:38
16
B.r.n🦋 :
Baraka! Ee mungu imekua ivi kweli
2026-10-11 07:43:49
8
Suzan Laurence :
Nilikuwa nimepanga December niende nyumbani lakn hapana naogopa jamani
2026-10-10 21:29:54
5
mjukuu wa salima :
nimeumia san dereva kaka yang😭😭😭nimeumia san jamn
2026-10-10 18:27:16
38
Julieth kabogo :
ni Bora mamlaka ziweke utaratibu hakuna kufunga madirisha wakati wa safari ili dhalula kama hzi zisiwepo imagine basi linateketea na watu ndani laiti kama madirisha yangekuwa wazi watu wangetokea dirishani haya yote yaaingetokea
2026-10-10 19:47:38
25
Teresia Nyamhanga :
😭😭😭😭😭 inauma mtu mnaagana ndo mazima hutomuona tena
2026-10-11 06:25:39
5
saleh sharif attas :
gari imelipukaje kama petrol moto ghafla umefika hadi nyuma
2026-10-10 18:11:24
29
KIMARA MABEGANI :
KWELI SIKU YA KUJA TUNAIJUA ILA KUONDOKA ATUIJUH BWANA AMETOA JINA LAKE LIIMIDIWE 😳😳
2026-10-10 18:28:20
27
Mrs Jay🦋❤️ :
Yaani huyo akatoa hadi kichwa jamn kumbe anaaga aise😔😭 walienda bila kurudi😭😭naogopa jamni
2026-10-10 20:27:56
7
To see more videos from user @father_dragon501, please go to the Tikwm
homepage.