@lutystar3: KILIO CHANGU Part 83 🔥 Maisha mapya yanaanza, lakini kila uamuzi una gharama yake! Dorian na Nadia wanapanga maisha yao ya baadaye, huku Enjo akipambana kuanza upya. 👀❤️ #africanstories #lutystar #storytime #swahilimovies #trendingreels
halafu mbona hii story kama inaanza kuleta uwongo uwongo nakumbuka angel alipata mimba ya brayani iyo mimba mbona haizungumziwi tena duuh imesha sahaulika😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-11 04:50:33
9
Miss Kitundu :
mbona Angel kabadilika sura
2026-10-10 17:25:11
5
Mar🌺🌺🌺 :
Jihan kashinda jaman🥰😁...tuendelee sasa na movie yetu🥰
2026-10-10 17:21:47
13
Francis :
mbona kama kuna jambo jipy linatokea
2026-10-10 18:20:18
5
Rufaliy🦋🥰 :
ila precious mzur🥰
2026-10-11 06:44:10
5
nadzuwakilaga16gmail.com :
mbona kama enjoy ata fanya kaz company moja na dorian
2026-10-10 17:15:47
8
Anchy :
nampenda angel awe na dorian😳😍😍😍
2026-10-10 17:23:42
9
Aalyah#❤ :
next please
2026-10-11 09:34:39
4
Saimon1986 :
Nadia mwehu natamn ndoa ya👏👏👏👏👏
2026-10-12 01:23:06
2
Fey junior :
next☺️
2026-10-11 04:09:24
3
chidy407 :
ndio😆😆😆
2026-10-11 09:04:49
2
Prisca205💃 :
fanya ufanyavyo dorian na nadia wawe pamoja mpk mwisho bc
2026-10-10 17:19:41
8
macrena🥰🥰🥰 :
jamn maliza tu hii story anza nyingine
2026-10-11 10:54:41
3
umasraj henna :
alitoa
2026-10-11 11:27:20
1
barack bisturi :
suit
2026-10-11 09:43:24
2
kavugho rachele :
next svp
2026-10-11 06:45:00
2
rich boy🤑 :
mm napenda enjoo[Red heart][Laughing]
2026-10-11 05:13:46
2
Nayla Ali937 :
bora ndoa ya serekali jmn 🥰
2026-10-11 08:03:48
3
To see more videos from user @lutystar3, please go to the Tikwm
homepage.