@melkizadeckkhamis: kaninunulie lai😇😇🤣@Zuchu @ZANZIBAR TOUR GUIDE🏝️🇹🇿 @NUNGWI DREAMS

𝔃𝓪𝓭𝓮𝓬𝓴 💎
𝔃𝓪𝓭𝓮𝓬𝓴 💎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 17:18:27 GMT
124090
2997
1798
148

Music

Download

Comments

blukulinchilongan
lusulo.jr2790 :
zantel yazaman
2026-10-10 21:10:40
342
mirfat.mahanga
Mirfat Mahanga :
sufuria wanaita dishi
2026-10-11 12:27:22
68
happykuya0
Happy❤️ :
ushanifahamu instead of ushanielewa?
2026-10-11 16:05:23
106
itspelly029
Irene Pellegrin :
Nikupe maji ya mfereji😂😂😂💔
2026-10-12 04:46:22
60
neema9009
ney ney :
mfeleji ndo bomba [Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-11 14:55:33
5
zicious01
zicious🌺🌸 :
mtoto Mdogo anakwambia hujambo🤣🤣
2026-10-11 12:42:23
114
amani.giyam
Amani Giyam :
Mtu akifiwa wanasema amefiliwa, halaf mfuko wanaita Poro, halaf chepe wanaita pauro, sufuria linaitwa Dishi nyie zanzibar kuna mambo 😂😂🤣
2026-10-11 15:54:09
114
husseinnelson191
Hussein Nelson :
me nilienda sokon kununua nyanya nikaambiwa zimeisha wakati naziona nikawaambia na hizo n nn wakanijibu hizo n tungule mpaka Leo Niko kwenye kamusi naitafuta maana ya tungule
2026-10-11 14:51:09
222
2012004annier
Manka Aquarius 🌚♒️🍑 :
A mtaniua mm hizi comment😂😂😂😂😂
2026-10-12 08:02:35
4
user35683765615
Kigo :
ushanfaham🤣
2026-10-11 06:19:21
50
mayassitta
Mayasa Rupia :
tungule-nyanya ubani-big jii Haloo- shangazi
2026-10-11 17:07:57
29
caroline_media_world
Caroline Media World :
Duarani badala ya round about 😅
2026-10-12 07:39:39
3
iam_mslilly
ms_lilly🦋 :
Spitali 😂😂😂
2026-10-11 09:51:25
6
momyhalayme
❅Chᴏcᴏlα†eQบeen❅ :
Naomba ndizi moja-Tanania bara Naomba kidole kimoja-Zanzibar 😂😂😂😂
2026-10-11 15:36:01
17
mahmoudi12311
💦محمد❄️❤️ :
vutu [Big LOL][Cool]
2026-10-12 03:25:38
1
prince_amoney
𝕄𝕨𝕒𝕚𝕡𝕠𝕡𝕠 🎧 :
UBANI kumbe ni Big G 😂😂
2026-10-12 08:57:36
7
priscaally5
🌹Joel 🥀❣️ :
Chepe wanapita Paulo me nikajua wanapita mtu kumbe ananiomba chepe
2026-10-11 16:07:43
15
attuhpeter
Attuh💦😘 :
Nakumbuka CR wetu alituambia Dr. hatowahi fika sisi tukaenda class eeh kumbe alimaanisha kwamba hatakuja kabisa
2026-10-11 18:37:21
9
cutenaah86
Cute naah🥂💝 :
TANZANIA Sufuria ZANZIBARI dishi
2026-10-12 05:34:26
5
arrahbello
bello🥰 :
Mchezo wanita upatu
2026-10-11 17:38:35
22
vinahrocky
VEe Mankah :
hii KUFILIWA aki siku yakwanza kuisikia ilinivuluga wallah😂😂😂
2026-10-11 14:19:15
108
ukendedaudi
@Uk 🦋🌷 :
shindano instead of sindano ,chipsi inaliwa na mikate🤣🙌
2026-10-11 08:19:09
14
sufianikiluajr
Sufiani :
viroba wanaita viporo[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-11 08:45:01
14
japril57
J àprîl 🚀 :
Njo na Pauro 😅
2026-10-11 10:25:51
5
user4770226139969
Winnie :
Tungule,nilitoa vitu vyote kwenye friji nikampelekea jikoni
2026-10-11 16:22:32
10
To see more videos from user @melkizadeckkhamis, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About