mambo matatu hupaswi kumcheka mtu wala kufurahia.
1.majanga yanapompata mtu
2.maradhi
3.kifo
hata ww pia yatakukuta kwa wakat usioutarajia.
mungu atujaalie mwisho mwema mana yeye ndio hakimu wa mahakimu.kila mtu atakufa na kweke tutarejea mungu ailaze roho ya marehemu peponi.
2026-10-11 16:47:07
32
Xeraphin Denis :
R.I.P SOJA🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-11-04 07:55:20
2
Kanchope Ngassa :
inaumiza Mungu awape faraja
2026-10-11 14:40:07
11
kindamba jr :
Kam ujapitia uwez erewaa hiyo ngomaa
2026-10-12 20:27:22
2
@RED SCORPION 🦂 🇹🇿🇺🇬🇰🇪 :
inauma Sana
2026-10-12 09:05:17
1
gomis athuman :
more painful 😭
2026-10-11 07:38:12
2
petertabitha :
Natoa pole za dhati kwa Maafisa Askari, watumishi wote, ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpambanaji wetu
2026-10-11 20:06:33
4
💝baby💝 :
polenii saan..
2026-10-11 16:10:14
4
Neylatty❤️🩹💍❤️🩹 :
Poleni cnh
2026-10-11 17:05:51
3
GOSAM :
rest easy soldiers 😭😭😭😭😭
2026-10-12 15:24:34
3
chogga pazia dodoma :
Kumbe police wanajua Mungu duuu
2026-10-11 14:01:55
3
ommy lee :
dah poleee xn
2026-10-11 12:10:04
2
Granville king mwaisunga :
R.I.P makamanda 😭😭😭 ...roho inauma lakin hatuna namna MUNGU ndye mpangaji wa yote 😭😭
2026-10-11 18:01:48
3
free fighter 26 :
mbona naona kofia ya ccm
2026-10-12 19:01:05
1
See us! :
inaumiza sna🥺🥺
2026-10-12 03:42:41
1
PhD :
pole sana
2026-10-11 16:56:29
1
mamen jujah :
2026-10-11 22:14:14
2
mtu_mweusi300 :
2026-10-13 09:10:01
1
Wendy :
afande dulla, afande lawi na afande Michael mungu awapunguzie adhabu ya kabri😭😭
2026-10-13 19:09:25
4
user4722958657794 :
Rest easy R.I.P Mungu awajalie makamanda wetu nyie ndomnafanya sisi tunalala Kwa amani
2026-10-11 18:42:04
2
Catherine Aloecy :
kumbe anaweza asiwe ndugu yako ila sababu una mjua na ukaumia hivi pumzika kwa Amani afande dulla weweee daaa😭😭😭😭😭😭
2026-10-11 22:03:28
1
E.D :
mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi sisi sote ni wabwana na kwake tutarejea
2026-10-12 15:56:32
1
@official mkali😍 :
more than pain 😢 😭
2026-10-11 16:46:41
1
️ :
2026-10-11 04:39:16
2
lazy ✨♥️😇 :
duhhhhhh rest easy soldiers
2026-10-11 17:21:34
1
To see more videos from user @gaspalyj13, please go to the Tikwm
homepage.