@madiba4life: ilichukua dk 15 mpk kwenda kuzima moto je kama kuna watu wanataka msada kwa hark inakuaje bd nalia na muheza bd tupo nyuma sana inauma sana jmn kama ungekuwepo na walio kuwepo wamejionea
Muwe mnaangalia umbali wa ajali na sehem fire inapotokea
2026-10-10 19:33:17
32
suleimani haruni :
hiyi ndy fire ya Tanzania
2026-10-11 09:05:07
0
Vay Rj :
mmh had mrsho upo
2026-10-10 20:45:16
0
Sharon :
Poleni
2026-10-11 09:24:13
0
@kidari.xella :
mnawaachiaje raia washike vifaa vya jeshi
2026-10-11 05:30:30
1
Hanc official :
poleni kaka
2026-10-10 21:48:09
0
drop exclusive :
sema hiki kikosi cha zima moto kipewe kipao mbele sana kweny bajeti maan majanga kwa hizi karne ni nyimgi mnoo
2026-10-11 08:58:59
4
Mwanah 🌺🔒 :
kweli muheza hamna fire 🚒 lkn mnatakiwa muangalie kuna umbali gani na muda gani mmetoa Hy taarifa mana Moto unaweza kuteketeza vitu ndani ya DK 10 🤗 Mwana FA anajuwa kama Jimbo lake halina fire au mnalaumu tyu
2026-10-11 02:03:51
10
mariam shaksi :
tusitake lawama jamani..fire imetoka umbali gani hadi kufika hapo ndio mlaum
2026-10-11 05:12:29
2
Son :
Inategemea na taarifa mmetoa muda gan na uangalie na makao ya fire yapo wapi sio kuwalaumu kk
2026-10-10 19:20:09
7
I'm G.💕🌸 :
Mlichelewaa kupigaa simuu 🙏 pia huwaaaa hapoo gariii ya zimamoto hapo haitumii majii inatumia foam 🥺 hakuna ZMK muogaa hapoo 😔 muwee mnapiga simuu kwa wakati call 114
2026-10-10 23:41:10
3
Salu Juma22 :
hao wazima moto wenyew mbon kama awaeleweki mhm ih nchi kila idara ina comed🤔🤔
2026-10-10 21:30:23
2
L.a.v.e.n.d.e.r k.i.t.c.h.e.n :
dah eti fire wanaogopa half wawili jmn😁😅😂bongo bahati mbaya
2026-10-11 10:52:21
0
PRETTY_G🦋🥀 :
hakuna alie zurika lakn...???
2026-10-10 23:19:47
1
nannah hancy :
hakuna aliyekufa jaman
2026-10-10 18:38:21
2
jose :
Sema kati ya jeshi ambayo huwa siielewi ni hiii ya kuokoa sjawahi kuwaelewa
2026-10-11 11:08:31
0
nado emmy :
wajitahidi kuwahi
2026-10-11 03:14:30
0
Fasco :
sema tuacheni kulaumu hao zima moto ni watu sio robot.
2026-10-10 22:54:28
2
COMMENT ZA WABONGO 🤣 :
acheni dharau
2026-10-10 20:20:57
1
Bakry Mkumbukwa :
fire yenyewe mpya 😂
2026-10-10 18:41:22
1
mkwayu familly :
duuuh kibanda jaman poleni
2026-10-10 19:05:02
2
CBM. :
wengi mnasema swala la umbali mnaona wanachokifanya baada kufika .
2026-10-11 04:10:18
1
MR MIRAJI :
MY WIFE amechelewa kuvuka apo kwaajir yahiyo ajali mpaka ameenda napikipiki duhh mpaka stendi yamuheza nomaa sna mwezi huu
2026-10-10 21:30:10
1
mambo :
huwa hawaji kuokoa wanakuja kusafisha barabara wengine wapite
2026-10-10 18:03:09
1
Zainabu Hamisi :
kwelii
2026-10-11 11:25:55
0
To see more videos from user @madiba4life, please go to the Tikwm
homepage.