kwa hivyo kama nii hivyo na sisi tuolewe na waume wawili..musifananishe matamanio yeno na watoto..lenu nii kuowa tuu...ya maana hakuna...
2026-10-11 18:41:22
1
Jamila :
Nasikia hasira😁
2026-10-19 19:03:19
2
Swaum Ally :
nani anawake 3 mie nikawe wa mwisho
2026-10-20 09:18:49
0
Duuhinho Olow Nageye :
Very true ustadh but please advice men to do the faradh.Utapata mwanamume mzima kuswali salatul fajr kwa mosque hajui ilikuwa lini.
2026-10-19 03:06:36
1
khadra :
kuna kaukweli
2026-10-20 08:18:47
0
Nahya Salum :
Kwani hio suna ni lazima mbona zipo nyingi hamfati
2026-10-17 13:27:21
1
zaahid :
mi nashangaa utakuta mtu kusali hasali anahamasishwa aoe tu wafundishen vijana faradh ndio muhimu halafu pia muwape elimu ya ndoa ukiiifuata elimu ya ndoa uhakika hukurupuki
2026-10-18 06:07:54
0
hassan :
akuna uhadilifu suna ni mingi siyo iyo tu mkee,🥺
2026-10-13 14:54:22
1
leilaaa :
Sio twaaa ni uadilifu ktk ndoa hakuna oa 100 i dont care.
2026-10-15 21:05:46
0
Ladda mine :
Mbona kama namuelewa sana huyu shaikh
2026-10-18 12:32:19
0
Thaham :
Sheikh anaongea na ukali jamani
2026-10-17 13:02:49
0
twenty___two :
aah hii tukijaaliwa namtumia Mke wangu 😁😁😁
2026-10-18 10:44:51
0
selme :
mhh
2026-10-10 19:13:25
0
reysam_collections :
Allah atustir
2026-10-13 08:07:06
0
Ramadhan :
Anayesoma shekhe ni kweli mwanamke anaweza kusema bora uwe na kimada nje ila kuoa to hutaki
2026-10-18 08:22:14
0
leila :
ila huyu shekh anapenda mambo yakuoa wake Weng jaman eee😒😃
2026-10-19 09:40:14
1
jazz🌹🥰 :
iyo ndo sunah inayojulikana zingine hamzion izi ndo kauli za kuwafanya watu waziniii nakuwafanya waone nisawa kwan mbn kuna waume ambayo bado hawajaoa huo wing mnaupata wap
2026-10-19 02:53:10
0
user3062178158253 :
basi ss wanawake pia wasitosheke n mmoja
2026-10-13 13:25:31
0
Abduli Rahmani Sulei :
hakika wanawake wingi wanapiga marish au amri y mungu
2026-10-12 04:39:54
0
jikonikwamamaswaumu :
bwana wee sio lazima😁kama ambavyo huwa mnasema aya ile wanawake wanatamani ifutwe na ndivyo hivyo wanaume mnatamani aya ile ingesema ni lazima kuoa wengi lakini Allah hakulazimisha na yeye ndie mjuzi zaidi.lakini mashehe mnajipinda kulazimisha kuliko hata kulazimisha swala.Na pia hauwezi kufananisha watoto na suala hili non sense.
2026-10-20 08:02:16
0
Hakiim bay Accepte l'islam :
😳😳😳
2026-10-11 07:35:33
0
To see more videos from user @saidi.saidi158media, please go to the Tikwm
homepage.