@chiefnambalaquotes: Ulokole wa kweli 😂😂😂😂😀🤣🤣🤣 #nambalaquotes

chief Nambala kiddy Quotes ⛎⛎
chief Nambala kiddy Quotes ⛎⛎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 17:44:03 GMT
38837
2035
195
47

Music

Download

Comments

kevoo240
KEVOO :
Comment zinachekesh...,
2026-10-13 11:59:41
0
calvinurassa5
CR66bthedon :
msiba tunao hatuna
2026-10-11 12:00:44
63
emma.de.boss0
EV EMMANUEL NORBERT :
Harafu unaweza kudhani watakufokea lakini ndo ukawa mwanzo wa wao kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao na wakaacha dhambi
2026-10-12 20:50:17
20
paroryi
sniper one 💥 :
labda aje yesu mwenyewe atoe habari zake 🤣😂😂
2026-10-11 19:00:29
39
dipro040
Dipro j4 :
Protector imechoka
2026-10-12 19:38:54
0
9715babanurath
SWALEHE :
unaweza kusikia tusi la mwaka wa mbele
2026-10-12 14:41:49
42
hukuusijeutaachandala
Huku usije utaacha ndala :
shwaaaaaaaaaa mamae 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-12 15:18:59
1
yaseer_njema
yaseer ramadhan [ NJEMA ] :
marehem alikuwa mlokole yani mtu wa mungu 😅😅😅
2026-10-11 19:27:11
17
mojr418
Mo jr :
Bwana alitoa na bwana akatwaa jina lake lihimidiwe
2026-10-11 16:35:13
11
cleophace3gmail.co
Cleophace1stborn :
Utatakiwa uje na YESU mwenyewe
2026-10-11 20:14:34
12
rhobbsonjr
RHOBBYSON JR :
Kama masihara tu ila sisi ndio kizazi cha kwanza ambacho hatuangalii taarifa ya habari na ikitokea tumeangalia basi hiyo siku lazima Tundu Lissu hua ana jambo lake lakini pia hua tunaangalia hiyo taarifa huku Tiktok si ndio😁😁😁😁😁
2026-10-12 08:50:12
9
user412943848600
Elizabeth damas 05 :
iyo kasi hata yesu mwenyewe hataingilia nakwambia
2026-10-11 10:19:16
11
user2588255520035
user2588255520035 :
Tunazika wapi jamani 🤣🤣🤣
2026-10-13 08:57:55
4
masai.omary
Masai Omary :
Yani hapo hata mungu mwenyw hatoamini kitakachotoke
2026-10-12 18:39:30
6
yohane.andrew8
lonely¿ :
mitume wenyew hakufanya iyo michezo
2026-10-11 11:26:43
5
clinton.eliuss.ki
Clinton k_66 :
yesu mwenyewe hakujaribiwa hivyo
2026-10-11 19:32:11
5
ubungo.mataa.tz
Am Angry :
shujaa kaumaliza mwendo🤣🤣🤣
2026-10-11 16:50:31
6
agneskasoga
Momy JJ💞💖 :
utaacha ndala😂
2026-10-11 10:42:02
5
user9570167157150
Scorpion👊🔥 :
Jana nilitaka nifanye hivyo ila nilisubiri mpka pale ambapo Doumbia angefunga ila ilishindikana
2026-10-11 08:28:58
5
mr300582
Mr... :
mwendo umeumalizaaaa
2026-10-11 15:25:11
3
enoshijuma171
Enoshi Juma :
tunasafirisha au🤣🤣🤣
2026-10-11 14:23:34
3
user36561154145405
yunzo boy :
uwo ugonvi ata Azam tv hawauwez😁😁
2026-10-13 07:27:32
4
andrea10813497447
Andrea :
ata aje Yesu mwenyew azime utaskia matusi tu
2026-10-13 15:19:44
2
robertignac307
Willem 11 :
Jamani wakuu tunazika au tunasafirisha?
2026-10-12 08:58:34
2
user7912138054616
Pharaon udjuzi :
happo nikifoon shapuu
2026-10-11 11:00:21
2
To see more videos from user @chiefnambalaquotes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About