@shack.ball: Mpanzuuuuuuuuuuuuuu ooooohhhhh What a Comeback Hiii ni upekeee wa Kipekeee kwenye Derby ya Leo Simba Vs Yanga wow 🔥🙌🏿#simba #NguvuMoja #myvideo #simbasc
na vile TikTok inashabikia simba nime scroll video ishilin SIMBA inabonda tu😂😂
2026-10-10 18:50:48
3
Hawa mparee :
ila mpanzu tunaomba zambi Zako apewe Ali kamwe🤣🤣♥️♥️♥️
2026-10-10 18:37:57
46
saidi iddi :
🥰🥰🥰🥰 simba ooooyeeeè
2026-10-10 22:12:31
0
anneygeneration :
dhambi za mpanzu nipewe me jamn nitazibeba tuliteseka mda mrefu sanaa kumfunga yangaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-10 20:50:07
2
wilson petro :
this the simba sports club
2026-10-10 19:21:46
0
di maria 7 :
This is simbaaa
2026-10-10 21:29:46
0
jasmin :
nakubali wanasimbaaaaaaaaaaaaa
2026-10-10 18:56:30
11
Jay official💥 :
what a goal big moment timu kubwa inafanya yake wanang wa simba gonga like 😁😁😁
2026-10-10 18:51:19
16
Veronica Mabuba :
Mpanzu ,kanunue soda ya bariidiiii nakuja kulipa
2026-10-10 19:02:27
7
Happy Yusuph :
zambi za mpanzu apewe mzee mpili
2026-10-10 19:27:50
10
Pab :
hatimaye Leo tumewakata ngebe,simbaaa oyeeee
2026-10-10 18:36:34
6
amedeusoisso :
waaaaaaooooooooooo
2026-10-10 18:36:34
0
Michael mussa :
umewatafuta sana hatimae wamepokea chao
2026-10-10 19:05:09
3
sadali Tz :
mpanzu mungu akupe maisha marefu
2026-10-10 18:42:40
8
ray :
mshahara wang wa mwez huu nakutimia kka
2026-10-10 19:46:36
3
Ezra Ezekiel :
nguvu Moja🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-10 18:12:50
4
Kelvin Mhaya :
wamejitaid san jaman
2026-10-10 18:40:06
2
ayusto weston :
kwaeshima kubwa simba sc
2026-10-10 19:21:44
2
aisha athumani :
Duh!! goli tamu nafsiyangu imefulai leo😆😆😆
2026-10-10 19:10:23
2
I'man.334 :
golikipa bora huoooooo🤣🤣
2026-10-10 18:36:00
1
Yohana :
Aibu aone sele Raha sana kuifunga Yanga
2026-10-10 20:18:42
1
Dunia Tawala :
Simbaaaaa Nguvu mojaaaaaa kama wewe ni mwanasimba na unapenda simulizi ni follow
2026-10-10 20:02:33
1
MBWANA RAJAB :
Diara kampigia magoti mpanzu lakini mpanzu akamfunga goli
2026-10-10 20:04:19
1
Khalifa Chuma :
Ama kwa hakika ilo cyo ni miongoni t' mwagori Bora ira n Gori Ambalo litakua lina mkela sna Diara bari ni mingoni mwagori pia Lilothibitsha ukubwa WA mchezaji Ambayo Anaiwakilisha vyema bender ya Taifa la kwa Kongo Mech Respect ELII MPANZU simba fns frm Tz Moro twn
2026-10-10 20:15:10
1
Nuriath Ramadhan :
ss ndio wanamaimbaz
2026-10-10 18:47:16
1
To see more videos from user @shack.ball, please go to the Tikwm
homepage.