@godyshafeni: Replying to @jr_elisha YESU ANARUDI tujiandaee "AROUND THE COURNER" Hii nyimbo ni kama imetoka jana yaanii sijui kwanini walioimba wameondoka lakini nyimbo bado ZINAHUDUMIA WATU👏 #viral #viralvideo #gospel #oldisgold

THE TRUTH OF THE GOSPEL✝️
THE TRUTH OF THE GOSPEL✝️
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 18:26:53 GMT
47510
3032
97
286

Music

Download

Comments

user5956076261416
willing willy :
amen so powerful enzy zile barikiwa
2026-10-11 14:19:36
3
voronicadaudi
Voronica Daudi :
Nilkuwa nautafta sana kila nikiandika alambe kolaa siupat🤣🤣
2026-10-11 05:45:06
14
dominicanjiri
DOMINIQUE :
i like it on those dai
2026-10-11 18:27:44
0
user52507000848181
jane :
amen and amen
2026-10-11 18:28:24
0
suzenymwafongo
suzenymwafongo :
😂😂😂 kwahiyo mimi nilikuwa nimejitungia wimbo wangu kivyangu
2026-10-11 19:19:06
1
annethmwinuka169
annie🥰 :
kama hii nyimbo unaijua na upo nyumbani tutakufuatiliaa😂😂😂
2026-10-11 13:32:02
5
mirryessau
Mirry Essau :
hapa gen z watupishee😁
2026-10-10 18:37:35
6
psychologistic1
Mussa :
anae jua hii nyimbo imetoka mwaka gan aniambie mana nmekumbuka tukio hapa
2026-10-11 18:56:29
1
emmanuelimisalaba
emmanuelimisalaba :
kitambo.san
2026-10-11 11:46:08
1
godyshafeni
THE TRUTH OF THE GOSPEL✝️ :
Hilii week ni mwendo wa NYIMBO ZA INJILI ZA ZAMANI.....andika jina la wimbo wa zamani tuupandishe✍️
2026-10-10 18:40:19
1
elizanyan
tiktok.com/@elizanyan :
amen 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-11 13:16:07
1
mutantdstar7
Mutant D star 7 :
name of the gospel team please
2026-10-10 23:03:32
0
professorzuma15
shakazulu :
2026-10-11 11:20:58
1
david07418
david :
amen and amen
2026-10-11 09:16:09
0
kulelebarnaba
@barnaba_kulele :
hapo ndo penyewe asikwambie mtu
2026-10-11 11:42:34
1
upendo0971
Upendo :
2026-10-11 11:41:46
1
nelison.lupondo
Nelison Lupondo :
alha sana
2026-10-11 06:27:03
0
user4877471616869
Richard karumbeta :
mungu awabariki sana wote mlioshea na kukomenti video hii amina
2026-10-10 20:47:38
2
daudmichael1
. :
2026-10-10 20:00:49
0
lutufyomwandemwa
Lutufyo Mwandemwa :
nakumbuka mbali sana uwimbo
2026-10-10 19:45:04
0
obbi190
Obbi :
2026-10-10 19:15:45
1
gsmart653
Gsmart :
Inanikumbusha mbali hii nyimbo jaman
2026-10-11 19:56:24
0
jerusa.kepha
mercy kepha111 :
huwo wimbo nilikuwa mdogo ssna miaka,uenda mbio
2026-10-11 18:13:25
0
user9533202909610
king :
Mwali wetu Mungu amtunze
2026-10-11 17:24:19
0
datyelasto5
daty elasto :
Alambe kola 🙌😂 nisamehewe jaman🙊
2026-10-11 18:38:05
0
To see more videos from user @godyshafeni, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About