@femedia_tz: 🚨🔥🔥 HII NDIO SIMBA AMBAYO TUNAIJUA SIMBA SC imefanya comeback ya kibabe dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga! 🦁❤️ Baada ya kukaa miaka 3 bila kuifunga Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC, leo Wekundu wa Msimbazi wameamua kuandika ukurasa mpya! 🔥 Kariakoo Derby imegeuka kuwa sinema ya dakika 90! 🎬⚽ 😂💚 WANANCHI, MNA NENO GANI BAADA YA HII COMEBACK? 🦁 Wanasimba, shangwe ziko wapi? Tuwaone kwenye comments! 👇🔥 #FEMedia_tz #SimbaSC #YangaSC #KariakooDerby #NBCPremierLeague
laha nilikua nayo Leo kulala labda police xio Kwa miss jihan cio Kwa ximbaaa uwiiih[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-10 21:52:04
3
ms~ppy🦋❤️ :
Watangazaji ni Simba tupu😂😂
2026-10-10 21:28:45
35
Msusu boy :
ukichunguza vizuri utaona kulikua na offside apo lile goli la yanga
2026-10-11 04:38:06
25
mama@samwel :
A few moment leter
2026-10-11 02:57:53
0
chum👩🎓 :
hii video inafurahisha kama we simba 🦁 mnyama[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-11 04:32:52
0
_Arike🌸🩷🫀 :
na hapo bado hatujatoa ela zetu benk nyie😂😂🙌🏾
2026-10-11 06:42:04
21
Anna :
asante simba
2026-10-10 18:46:29
12
julie :
yani mpaka nasisimka naipenda simba jmn
2026-10-11 08:14:52
8
didash :
Simba mmetupa raha xna
2026-10-10 19:19:45
22
Diana Munishi :
mbona kama ilo goli ya yanga offside au ni ushabiki msinifokee Leo jumapili Bwana Yesu asifiwe🤣😂
2026-10-11 07:01:28
11
Hawa Mwedi :
Hiv mmeona kaz ya kereso mahalwa jaman fire
2026-10-10 20:58:49
16
Mama Dee🦋🌸 :
Adi mtangazaji ana raha jmani 🥰
2026-10-10 20:54:30
16
Malikia 21 :
Sema mtangaziji n simba kabisaa🤣🤣🤣🤣
2026-10-11 10:39:42
1
Aziza Abby :
sijamuona sele jamn seleman weh sele
2026-10-10 21:02:59
6
Tyner ❤️ :
leo nimefurahi sana ilove you simbaaaa😓😓😓
2026-10-10 21:17:36
7
dainesbulegeya :
Nataka kuxhangilia Yanga wananizuia😂
2026-10-11 09:30:59
1
emmy26 :
ila simba
2026-10-11 12:59:06
1
mtotowabibi🫂❤️🤱 :
Kwa upande wangu nilishakata tamaa nikaanza kuangalia picha za bibi angu huku nalia lil ivyo ingia Goli la kwanza la simbaaa uwiii machungu yote yakaishaaa😁😁🥰🥰🥰
2026-10-11 03:21:50
8
Erick the don :
mwaka huu maji mtaita mma
2026-10-11 07:37:48
0
user2005760807828 :
hatimae walituonea sana
2026-10-11 07:34:16
0
Khadija Maja :
Kwan mwalimu hajacheza????
2026-10-11 08:39:20
1
Cy_Cy 💫 :
ukiachana na huyo Mpenja huyo mwingine anaetangaza anaitwa nani
2026-10-11 14:37:18
1
mwanaid Hassan :
😂mahema ajasubilia spiral upoe😂😂
2026-10-11 07:15:12
0
Fay🥰🦋 :
nyie kukiangalia vizur baker anaipenda Simba kutoka moyoni sio kwa kushangilia huko
2026-10-11 17:13:32
2
d❤️ :
dk 5 gol 2
2026-10-11 12:24:59
2
To see more videos from user @femedia_tz, please go to the Tikwm
homepage.