ASANTE MUNGU KWA SIKU YA LEOO HAKIKA IMEKUWA NJEMA KWETU🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲
2026-10-10 19:24:59
142
Esther Memba :
mm sina furaha Jana nimefungwa
2026-10-11 09:58:46
38
AgnessAmos :
kwani watu wanafurah nn mbona sielewi
2026-10-11 03:00:36
57
innocent Kessy :
simbaaa fanya jambo tupate to la africast najua ukiamua uwez shindwa
2026-10-11 03:25:47
46
Grace Nima :
uwiiiiiiiiiiiiii watu weweeeeeeee watu ooooooooooooooooooooooooooooo tunaondoka tunaondoka tz wasukuma oyeeeeeee😂😂😂😂😂😂🙏
2026-10-11 09:00:39
12
mama GSDR :
wasukuma tumeisimamisha dunia 🙌🙏
2026-10-11 12:29:17
9
VANESSAJOHN🤔 :
mungu akiwa upande wetu ni nani Alie juu yetu
2026-10-10 20:52:42
20
ney mnubi :
cjui marioo& d voice wanasemaj maan asiyo wapend wamewakilisha nchi🤣🤣 congratration to miss❤️❤️❤️❤️❤️wembamba dondosha kopa❤️❤️❤️
2026-10-12 09:00:32
21
Brigadier@Mtumishi% :
🇹🇿🎉 PONGEZI ZA DHATI KWA KABILA LA WASUKUMA! 🎉🇹🇿
Hongereni sana ndugu zetu Wasukuma kwa kuwa na binti aliyeipeperusha bendera ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa la Miss Grand! 👑🌍
Kupitia mafanikio haya, jina la Tanzania limeendelea kusikika duniani, na wimbo wetu wa Taifa umeipa nchi yetu heshima mbele ya mataifa mbalimbali. 🇹🇿
2026-10-11 15:52:02
25
Neema Mwambara :
Asante mungu niliomba sana
2026-10-10 20:10:09
5
Annie Yasmne :
jamani nani ambaye haelewi kinachoendelea kama me😁
2026-10-11 13:09:41
5
angeldecor68 :
SIMBA NA JIHAN wametuheshimisha vibaya mno🔥🔥🔥🔥
2026-10-10 22:16:34
5
piky👿🖤 :
naipenda nchi yangu Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-10-11 08:40:19
5
Nana❤️ :
Tanzania aaaaaaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-10-10 20:14:36
5
PRETTY 💫🌹 WIZZY :
mashaallah ❤️
2026-10-10 19:47:22
5
JENOH.Tz09 :
kuna Kula yangu apo hongera Sana kwa kuiwakilisha TZ
2026-10-11 07:08:58
5
shariffu salumu :
hatutakiwi kukata tamaa ni mwiko kwa kila mtanzaniq hiyo ndo kauli mbiu
2026-10-10 20:54:31
6
Shakira A. Banobi :
Wasukuma mikono juu mmeitksa Dunia japo tuloshirk mpaka huyo miss anakuwa knara n watanzania kwa ujumla
2026-10-11 20:01:27
6
ella12 :
Ms Tanzania hour queen
2026-10-10 19:23:19
5
Bosslady ..... :
for ther first time nimeskia anthem ya Tz
2026-10-13 04:59:54
8
Alexander Lucard :
zuchu be careful of this
2026-10-11 10:01:33
15
samis🫠 :
😂😂😂Watasimuliana tuuuh
2026-10-10 20:47:36
8
To see more videos from user @simba_mr.waya, please go to the Tikwm
homepage.