bado tunawaamin hatujawakatia tamaa na tunawapenda
2026-10-10 19:47:39
68
mkanula_jr1🐘 :
we win together we lose together ✊
2026-10-10 21:33:15
0
tripple_dee :
We miss you Paccome ♥️♥️
2026-10-10 21:21:19
0
It's salgen :
daaaah mwanangu ungekuepo leo yasingetokea aya
2026-10-10 19:52:18
27
kabadex🎤 :
Young Africans sport club the Greatest football team in Tanzania
2026-10-10 19:56:51
6
kazinja wasiwasi :
never giv up
2026-10-10 21:04:00
0
Nasma❤️🔥🌹 :
Ni matokeo naamin mtafanya vizur Zaid bado tunaimani na nyie wala msikate tamaa💚💛💚💛
2026-10-10 21:06:56
7
Jane🇹🇿 :
Ooh my Team💚💛
2026-10-10 21:52:15
0
j once again :
Pole san
2026-10-10 20:17:14
1
Monicca :
Nimeumia San ila pacome mungu hakujalie upone
2026-10-10 19:45:17
8
Mosses :
kufungwa kupo ila sio kufungwa huku ase yani tume tawara mpila38% kweli😭😭😭😭😭😭 inauma san asee coach ajiagalie ache kujiamin kupita kiasi anakera
2026-10-10 19:53:48
14
Edison :
kocha asepe tuuuu
2026-10-10 20:34:47
7
noely7626 :
msife mioyo tuko pamoja kwa kila hari leo tumeteleza tuinuke tupambane kwajiri ya kesho YANGA FOREVER 💚💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💛💛💛🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪
2026-10-10 20:07:10
6
Ramlizer :
jamn bado tupo pamoja na tunaaminia sana msikate tamaaa,YANGA MBELE ZAIIIIID✌️
2026-10-10 19:57:36
7
Nassoro Mkwanje :
Wazembe na kocha hamna kitu
2026-10-10 20:01:17
4
0000 :
mungu Linda tumu yangu japo nimeumia vibaya ila nitavumilia Asante mungu nimerewa maana maumivu yamekua makali imebidi ninye bia ila baliki timu yangu Asante mungu kwa haya matokeo ya reo
2026-10-10 19:51:37
8
King @kunamaishabaadayatukio :
yanga bingwa
2026-10-10 20:48:13
2
💫THENCK MASTER✨️🩷 :
😭😭😭😭asante bado sisi ni mabingwa
2026-10-10 19:57:20
2
Abdullah :
inama sana wananchi
2026-10-10 20:04:04
2
Jovitha :
tunawapenda sana ila kocha kwnn alimtoa mdasili
2026-10-10 20:20:10
1
jumaila_glam 💄&wedding dress :
bado makamanda wetu tutapambana
2026-10-10 20:18:26
1
marie💞💞 :
yote na yote tunaipenda yanga bhana (YANGA BINGWA)
2026-10-10 19:56:12
1
phat!!! :
yuda apa aonekan asee
2026-10-10 20:20:17
1
G OTEMA BEAUTYSPOT :
Yanga bingwa
2026-10-10 19:58:11
1
lishark :
pacome mungu naye
2026-10-10 20:14:14
0
To see more videos from user @safari.petro, please go to the Tikwm
homepage.