@shekhan.abdallah6:

Shekhan Abdallah
Shekhan Abdallah
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 19:52:34 GMT
9823
420
31
18

Music

Download

Comments

user2380497033652
user2380497033652 :
Amin Amin Amin
2026-10-10 21:19:32
0
shazrijr
shazri JR ™ :
yanga ndo uwezo wake ule
2026-10-10 20:32:20
1
user39161855802200
karokia :
Ilo la wachezaji moja mmoja hata mimi nakubali ila kocha tumpe muda Daima mbele nyuma mwiko 💚
2026-10-10 22:07:20
0
france.joshua
France joshua :
Hamuna kocha apo,
2026-10-10 22:29:17
0
chris.baba.caren
Chris Baba Caren :
amina
2026-10-10 21:21:46
0
jumaila_makeup
jumaila_glam 💄&wedding dress :
umeongea sahihi
2026-10-10 21:29:50
0
muddymaingo
muddy maingo :
inshallah
2026-10-10 21:36:16
0
mohamed.rama90
Mohamed Rama :
Kocha hatuna na tukizidi kumng'ang'ania anatupoteza.
2026-10-10 21:25:08
0
user0692352814
user2479434176229 :
Amina baba
2026-10-10 21:32:30
0
al_abry91
Al_abry 91 :
Sahihi
2026-10-10 21:19:04
0
dai38755
dai :
Amin
2026-10-10 21:51:22
0
yusuphselemani005g.com
yusuphselemani556 :
kwl father UK sahihi sanaaa
2026-10-10 21:57:09
0
prishah.outfit
Prishah outfit :
kocha mkuu na waviungo ndio akuna kitu
2026-10-10 21:21:22
0
yamunguhamadi925
mungu nimwema :
babu ume nifurhisha kwaushahur wako
2026-10-10 21:57:15
0
user9638227154994
The boss :
umeongea ukweli
2026-10-10 21:32:06
0
kaparo608
kaparo :
aondoke kocha hatumtaki
2026-10-10 21:33:38
0
joshua.mbalinga
Joshua Mbalinga :
Leo tutaona sura mpya nying
2026-10-10 21:31:51
0
samirhaji127
samirhaji127 :
nikweli
2026-10-10 20:20:17
0
denis.mushoza4
Denis Mushoza :
Amina
2026-10-10 20:59:48
0
thabit_milandu
milandu :
kumbe
2026-10-10 20:49:03
0
steviepeter631
Stevie Peter :
mjomba shida nikocha hata wachezaji baadhi mfano material wote wameishaaa
2026-10-10 23:00:32
0
zowo010
zowo :
Timu ilivyo cheza harf ya kwanza tofauti na ilivyo kuja harf ya pili inaonekana kabisa wachezaji wame choka wanakabia macho wachezaji inaonekana Kuna vitu vya tofauti wachezaji wa lipo kwenda vyumbani si amini japo tumefungwa lakini Kuna kitu kimefanyika well said mzee wangu katika haya uliyoyaongea kipo kitu umekiona Ila sijui kama viongozi wamekiona yaani leo wangetulia kidogo simba wangetufunga goli si chini ya 4 au 5 tumecheza hovyo Sana kipindi cha pili Ila inaonekana ulikuwa mpango maalum ili yanga apoteze mchezo wa Leo all in all tumefungwa pamoja na tukishinda pia pamoja tukubali KILICHOTOKEA leo tujipange na michezo ijayo hongera kwao
2026-10-10 21:10:31
2
user6009561270112
user6009561270112 :
Sawa kakangu, umeongea vzr na ushauri ni mzuri...
2026-10-10 21:05:54
0
patty.mnk
patty mnk :
tushike lipi wachezaji wabaya au wamelishwa dawa
2026-10-10 21:34:45
0
twiga.15.88
mtoto.wa jangwani :
simbabingwa
2026-10-10 21:18:06
1
To see more videos from user @shekhan.abdallah6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About