@petermsechu: Sijui nianzie wapi kuwashukuru WASABATO WOTE TANZANIA🙆🏽♂️🤦♂️🙏🙏🙏 kwa umoja wenu ukaribisho wenu kwa kweli leo ikiwa ni mara yangu ya kwanza kuingia katika kanisa letu hakika nimeuona upendo wa tofauti sana sana sana🙏🙏 Kwa upekee Ahsante sana sana @chuokikuusda kwa kunikaribisha kwa upendo na heshima kubwa. Leo nimeiandika historia katika Maisha yangu kwa kweli🙏🙏🙏 Kuanzia Mchungaji, Wazee wa kanisa wote Viongozi mbalimbali na wajmini wote wa kanisa la @chuokikuusda MUNGU AWABARIKI SANA SANA🙏🙏🤝🤝 ✨Sabato njema✨ Cc @ecadventist @chuokikuusda @adventistlifetz @kurasinisdachoir @arushainternationalsdachurch @sda.tanzania @sda_together @masakienglishsdachurch @sdachurchmagomeni @sda_tanzania @arushainternationalsdachurch @darcentralsda_ @sda_songs @ilala_sda_church @mwengesdachurch @kinyerezisdachurch @adventmusicafrica @dodomacentral_sda @mivumoni_central_sda @kibadacentralsda @ukonga_sdachurch @kibada_sda @kurasinisdachurch @sdachurchtravelclub36 @ilala_sda_choir @sda_home @mbweni_beach_sda @kariwa_sda_church @kimanga_sda_choir @kinyerezisdachurch @sdasabbathschool @zanzibarcentral_sda @segereasda @njirosdachurch @mongolandege_sda_church @kurasini_sda_youth_choir @kimanga_sda_church1 @mabibosda_church @mbiu_sda_choir
karibu tena na tena nimebarikiwa na sauti yako ya 4
2026-10-10 20:36:34
29
designerrobien :
Indeed OneVoice27
2026-10-11 04:16:26
27
Ruth Stacey🇰🇪🇹🇿 :
Sasa uje pia Kenya, SDA😊
2026-10-11 04:10:04
7
Goster Peter :
General conference is Babylon
2026-10-11 09:07:08
4
Stany☑️ :
karibu tena sana kaka
2026-10-11 03:20:36
12
Happipyo :
Nakunyimaje like mm kama muadventista msabatooo
2026-10-12 13:21:21
4
Esther_Cosmetics Dom💄 :
Wooow tumefurahi hata tuliombali
2026-10-10 21:38:56
6
@Emy.Luxe :
utuume kwa wote, mambo yote mapya tumaini linaanzia hapa🥰🥰🥰
2026-10-11 06:06:53
10
caketown :
kwanza mi nimejikuta nashangaa tu siku zote najua wewe ni msabato na kumbe sio khaa haya njoo usabatoni hiyo sauti yako ni yetu kabisa kwenye kwaya tunaitaka
2026-10-10 20:28:11
14
peace maker🍇 :
usabatoni 🥰
2026-10-11 10:04:33
3
ju :
nimefurahi sana kuifata kweli ya mungu loho mutakatifu akuongoze sana kaka
2026-10-11 07:42:56
5
Almonte Jr :
kaka tulipishana pale Maji ulikuwa umepaki🔥🔥🔥🙌🙌 respect sana
2026-10-10 20:03:48
7
MISS NAAH 💃😇 :
mungu akutunze babaaa umefanya chagua sahihi sanaaa karibu katika maisha ya ukristo Amina mungu akubaliki
2026-10-10 21:31:57
6
MARTIN :
BRO TUNAOMBA USIISHIE KANISA HILO TU TUTEMBELEE MAKANISA YOOTE IKIWEZEKANA FANYA TOUR YA KUTEMBELEA KANISA MOJA BAADA YA JENGINE HADI UYAMALIZA YOOOYE SI PIA TUNAHAM YA KUSALI PAMPJA NA WEWE😓😓😓
2026-10-11 04:20:29
9
🦋 its s :
Nimekupa saluti yanii unasaut ya nne kabisaa yanii munguu akutangulie kwa kilaa kituu amin
2026-10-10 23:35:12
11
Rayda143 :
aisee wameenjoy sana
2026-10-10 23:17:47
2
ELON PROFILE :
peter noma sana nimeiaikia sauti ya 4👍👍👍😁
2026-10-11 08:00:38
3
Zeticha :
Karibu sana brother... That bass is sooooooooo......
2026-10-11 18:08:41
1
@Vane🇰🇪 :
karibu Kenya sasa
2026-10-11 07:49:11
2
Rose samweliy21 Rose samweliy2 :
Amina kalibu
2026-10-11 10:59:02
2
To see more videos from user @petermsechu, please go to the Tikwm
homepage.