@damu_ya_yesu: Waebrania 13:2 [2]Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua. Be not forgetful to entertain strangers: for thereby some have entertained angels unawares. #ugandatiktok🇺🇬 #tiktokkongo🇨🇩 #tiktokburundi🇧🇮 #tiktokkenya🇰🇪 #malawitiktok🇲🇼

APOSTLE EMANUEL MWIMI
APOSTLE EMANUEL MWIMI
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 20:11:58 GMT
110892
6894
354
550

Music

Download

Comments

kasembo.masele
Kasembo Masele :
Tena Kanyoa denge [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-11 09:08:05
2
mwasunya.glau
Mwasunya Glau :
jina la yesu libarikiwe jamani yesu ni jibu la kilasiku
2026-10-11 05:34:25
123
user4498101931047
user4498101931047 :
Mimi ilinikuta 2022 nilikuwa na mtoto miaka miwili hatembei hakai hanyonyi nilikuwa nimetibu nimeuza kilakitu kumsaidia lakin wapi basi nilikaa kusubir maamuzi ya mungu sikumoja nipo nayule mtoto mgonjwa ofecin kwangu lilitanda wingu kubwa mpaka ikawa giza ilishuka mvua kubwa yenye upepo mpaka ikalazimika kufunga milango umeme ukakata sasa wakati nimekaa ndan kuna wazi lilinijia nitoe diaba lamaji nnje ilinikinge maji sasa wakati litoka nikaenda kuwekachombo changu kwenye mtiririko wamaji Ile narudi nakuta mwanamke kasimama pale kwenye mlango wangu kwannje kajitandaa kanga nikamwambia ingia karibu ndani mbona unaloana hapa nandani Kuna watu basi aliingia ndani akaketi nikafunga mlango nikarudi kukaa baadae aliniuliza mtoto wako ana shida gani mbona amedhohofu sana nika mwambia akaniambia mvuahii ikimkata nenda mahali kachukue kitu frani umpatie alafu iyo miguu nenda mapahali frani kachukue kitu Fulani naatakuwa sawa kwauwezo wamungu Mimi nitapita kesho nimjulie hali basi mvua ilipo karibia kukata aniaga naaka ondoka zake Mimi Baada muda mvua kuisha nilitoka mda huohuo nikafata nilivo ambiwa jaman mtoto alipona siku1 tulisubiri na mume wangu kama atarudigi ili tumpatie zawadi Hadi waleo hakurud nakijanawangu nimkubwa sasa anatimiza miaka8 na hata Yale magonjwa yalio kuwa yana muandama yali potega akiumwa labda kikohozi jaman haya yapo asante mungu Kwa wema wako 🙏🙏🙏
2026-10-11 13:00:07
104
wambui615
wambui wa chege :
the best video av watched this year
2026-10-11 04:47:56
1
gasthom5
Gaspar.+255 :
kwa Mungu kila jambo jema linawezekana
2026-10-11 09:11:47
16
mnyakyufashion
Mc Mcheshi :
Namuogopa Mungu sana haya yamenitokea 2015 mm nilikua nmepooza miaka 3 na nusu asiye Amin nimtumie documents za kila hospital nilizo enda nimetunza kama ushuhuda naitwa Joshua Lucas naona machoz yakinitoka jaman Yesu yupo😭😭😭😭😭
2026-10-11 09:56:35
30
mosesdm3
Engineer by Nature :
Jambo kama hili nina ushuhuda nalo Mimi mwenyewe lilishawahi kunikuta mwaka 2009.
2026-10-11 07:41:45
35
kelvinromanus
romanus :
powerfull
2026-10-11 14:25:57
1
lissamatayo
Lissa Matayo :
MUNGU namimi naomba ipite kwangu ninashida na mtoto baba fungua tena izao wangu
2026-10-11 17:20:53
7
prettyaggy5
Prettyaggy5🤎 :
Ni maigizo 😂
2026-10-11 06:09:07
5
katondobilali
Mz bilali katondo 🌟 :
ooh wow amen 🙌🙌
2026-10-11 08:37:47
1
ilatiomar
*❤️🩶❤️ :
na bado kuna mtu anapata nguvu ya kuinuka na kusema hakuna MUNGU my friend Acha fikra hafifu
2026-10-11 11:32:47
8
queen.jakobo
Rider mom🥰✨️ :
ni content2 inayofundisha bt sio kwmba ilkua kweli
2026-10-11 04:59:03
7
muddymiusic
muddy music sound :
dini zimeharibu upendo kwa binadamu kwa Sasa zamani watu walikua wanaishi hvo ila Sasa hv vitisho vimezidi na watu kubaguana kutokana na udini
2026-10-11 09:38:23
8
typing09048
Typing... :
dah had nmesisimka mungu yupo🙏🙏
2026-10-11 07:45:02
5
user74563478368545
Mrs Bazirako :
Amina kwa ujumbe wako
2026-10-11 03:32:34
6
user1920052157056
Samantha :
Amen in Jesus name 🙏♥️
2026-10-11 11:36:43
1
user3517995868874
victoria :
mungu asifiwe sana amen amen amen.....
2026-10-11 05:37:48
6
josephinejoseph40
jossyn :
alikuja mtu kwangu kama hivyo alinambia nimekuja kukusaidia kufua au kazi yoyote we nipe ila uwepo wake ulinipa amani ndani mwangu alionesha jambo kubwa sana sitasahau alinipa mpka namba ila nilipiga haipatikani mpk leo na siwajahi kumuona tena.
2026-10-11 10:18:49
7
sabby7719
sabby :
Sasa mm ninavyofukuza vitoto vidogo kwangu sijui ni mimba inanisumbua staki kero
2026-10-11 04:45:36
6
deusdevid105
wwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww :
iini kwel kambisa
2026-10-11 06:49:31
4
ashqueen013
Ashqueen💐 :
AI bhna
2026-10-11 09:11:26
2
byjesus53
Pstr- Dgls⛪ :
hio ni CCTV camera
2026-10-11 08:04:13
1
user9354474920629
Nyambura Margaret :
next
2026-10-11 04:40:35
1
user9518232167662
Khadija :
ee Mungu naomba umtume maliaka wako juu ya mwanangu
2026-10-11 14:55:44
1
To see more videos from user @damu_ya_yesu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About