@sabra.chumamy: FOOTBALL MOMENTS…. #simba Fans wote USHINDI TUNAO NA TUNATAMBA NAO🤗 #lastborn #sabrachumamy

LAST BORN WA SIMBA
LAST BORN WA SIMBA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 20:51:42 GMT
173096
24676
298
135

Music

Download

Comments

tiphereqbar12
tipher eqbar 12 :
ukimaliza ukatafute heren moja😅🥰
2026-10-10 21:01:57
136
meshackwiliam65
Meshack Wiliam :
Duuh yaani huyu dogo anajiamini kuliko mimi🤣🤣🤣🤣❤️❤️❤️🙏🙏
2026-10-10 21:23:37
253
vee.baby845
Vee ❤️ :
Au huyu ndo awe mwenyekiti wetu 🥰🥰
2026-10-11 06:08:41
68
user0680944899
Lowaxxa Lengai :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️This is Simba my sister ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️nguvu moja
2026-10-10 22:02:21
0
am.tee52
A'm tee🧸🌹 :
huyu ndo Last born wa simba hakikaaaa♥️
2026-10-11 05:40:39
2
madam.t924
madam T😘 :
simbaaaaa simbaaaa simbaaaaa simbaaaa ewaaaaaaaaaah ninefrahi sana
2026-10-10 22:21:53
1
slyx.tupilo
slyx tupilo :
Last born wa simba
2026-10-10 22:35:47
6
shephady
shephady 4️⃣5️⃣🔞 :
huyu dogo anashabikia simba mininani nisishabikie simba🤣
2026-10-10 21:58:04
62
2athanaz
Sami boy23 :
kila post ya mwanasimba mi ni kulike tu
2026-10-11 05:45:14
32
luka.mtweve.luka
Luka mtweve Luka :
kasema haa tumefungwa
2026-10-11 09:05:30
9
stranger_0026
stranger🪼 :
hivi hatuwezi pigia hii last born kura cz ni Mtanzania halisii 😤🔥🔥🔥✊
2026-10-10 21:20:06
41
yaaasss_bishhh0
yaaasss_bishhh :
NGUVU MOYAAAAA
2026-10-10 21:19:04
2
neema.samhenda
datoga girl❤✅ :
najiona hapo Ila vibe la Jana🥰🥰🥰
2026-10-11 10:54:36
11
patrickkyando862
Patrick Kyando :
huyu dogo ni mara ya pili Leo analiona goli kabla halijafungwa
2026-10-11 08:24:20
7
happy.kene.yusuph
Happy kene Yusuph :
sabra love you❤️❤️
2026-10-10 21:13:12
1
mussabarakati729
Barakat mussa :
nilikuwa nakutafuta cjakuona last born mnyama
2026-10-11 05:40:33
8
angleloveness
loveness masaki :
iyo nyimbo inaitwaj
2026-10-11 08:08:34
3
hijaby111
Hijaby🌸 :
Our lastborn♥️♥️♥️♥️♥️
2026-10-10 22:30:53
1
mama.ruu55
Mama ruu :
yanga andaeni kizazi cha kesho hata nyie mnaona tutazeeka sisi atabaki sabra chimamy akiitetea simba
2026-10-10 23:02:40
7
user5026177279694
Nathaniel totofesto :
ile dozeeedozeeee ikawa shangweee la moja kwa moja🤣🤣🤣simba nguvu mojaaaaa
2026-10-10 21:20:36
5
faribaby93
faribaby💞 :
wangapi atuwezi kuongea ivo mbele za watu
2026-10-11 08:50:01
4
boe20599
boe<🤪> :
mbona kunamtu anaibiwa
2026-10-11 08:34:17
0
hamisi.mminge
Hamisi Mminge :
iyo lini iyo
2026-10-11 09:48:03
1
hillary_0025
hillary_0025 :
Yanga wana roho mbaya, hivi walitaka Washinde na Leo, huyu mtoto asifurahi kweli!
2026-10-11 12:40:06
1
careenmom10
@careenmom#musoma🇹🇿 :
last born wetu ❤️❤️❤️❤️
2026-10-11 03:06:47
1
To see more videos from user @sabra.chumamy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About