@uhondo.tv: Shabiki wa Simba SC, JB, amesema hajawahi kuishuhudia timu ya Yanga SC ikicheza katika kiwango duni kama ilivyofanya katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo uliopigwa leo, Oktoba 10, 2026, kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. JB ametoa kauli hiyo akielezea maoni yake kuhusu kiwango kilichooneshwa na Yanga katika mchezo huo, ambao Simba SC iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi. #UhondoMichezoni
Uhondo TV
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 21:28:16 GMT
Music
Download
Comments
Amina :
kwel kwel kpnz[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-11 15:57:25
0
miss wee😜 :
kama big boss mwenyewe anasema timu meyo me ni nan???🤔
2026-10-11 06:21:46
32
Nuru Mareta :
wape ayo[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-11 09:40:54
0
fequrial vee :
JB we vp wewe
2026-10-11 10:29:12
0
last born 🌺 :
Zinabondw tuuh
2026-10-11 11:01:38
0
silsila :
Kweli😊😊😊
2026-10-11 10:42:49
3
Babe girl🇹🇿 :
2026-10-11 11:49:58
2
gee💗💗❤️ :
ndo kwaz kaz inaaza
2026-10-11 09:32:17
4
Gymson January :
we mbona umewahi kuionaa 😂😂😂
2026-10-11 04:19:09
4
Irene Mosha :
sema babahhh waambie jmn
2026-10-11 08:50:00
1
sáim😉 :
ila simbaa😂😂😂😂😂
2026-10-11 16:29:50
0
Happy :
sema babaaaaaaa
2026-10-11 12:23:41
0
Eunice :
kweli kbs jb
2026-10-11 14:11:51
0
elly9 :
kabisaa maamuz mabov
2026-10-11 11:05:49
0
map :
Jb oyeee
2026-10-11 12:18:46
0
gee eliudy :
nimefrah kwa kumuon babaang kumb ni simbaa[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-11 15:44:29
0
Tuty ndaga :
khaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-11 12:24:41
0
Fatma Ali :
loveee you yanga💛💚💛💚
2026-10-11 04:04:50
0
HABIBA :
sanaaaa
2026-10-11 08:28:23
0
sharifah.said7 :
umeona
2026-10-11 10:16:01
0
Timmy-cute💞💃🏽😜 :
YANGA BINGWA 💚💚💚💚
2026-10-11 22:59:16
0
Bernadetha Willam Rushaba :
👍👍👍👍👍👍👍
2026-10-11 09:24:14
0
Gnexmathemu :
hahahaha
2026-10-11 10:44:03
0
AQSAH :
Weweee simba mwaaaa
2026-10-11 10:18:44
0
gracesinagwa :
kweli jb sema baba
2026-10-11 11:02:02
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.