Hii ndo Simba yangu yamateso miaka 3 atimae mungu ametuona 🙏
2026-10-11 17:00:52
19
Vee💗💞💞💞 :
Ivi mulisha wahi ona wapi tem inapambana kwajili ya mashabiki wao wasi semwee mtani wasitukanwe mtani zaidi ya SIMBA mumejua kutufuta machozi mumetutolea aibu 🙏🙏
2026-10-12 04:06:45
10
bulayani danieli masinga 💞 :
simba nguvu moja,🥰🥰🥰🥰
2026-10-11 13:45:01
11
LUCAS :
yan mungu ni waote zamu yetu sas wana simba
2026-10-12 06:58:48
5
emmanuelmtete :
uyu chilamb ni mtu wa iman san jamn
2026-10-11 17:06:29
5
neema :
kazi mmefanya vijana atuna den na nyie Mungu awalinde na mabalaa yote🙏🙏
2026-10-11 20:28:25
8
Kefulini William :
Simba bingwa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💔
2026-10-12 08:50:55
0
Joshua kidd :
mungu awabariki simba 🤣☺️☺️🤣😅
2026-10-12 09:14:38
1
Salome Mwasenga :
mmejua kutuheshimishaaa 🦁💪 moja
2026-10-12 12:47:12
1
3️⃣2️⃣☠️Msouth🇿🇦😷 :
hapa inaonekana kwamba tunawaeeza
2026-10-12 05:06:26
1
Angel💕💕💕 :
asante mungu
2026-10-11 17:49:58
2
estherdonnie :
mungu tunakushukur umejua kutueshimisha turitukanwa sana
2026-10-12 16:33:10
2
To see more videos from user @kijanawatiktok7_______, please go to the Tikwm
homepage.