I know this matatu… very carelessly driven on links road in the mornings, cutting off other vehicles and overlapping on pedestrian paths and using wrong side on roundabouts!
2026-10-11 12:41:34
24
lordwin ⚡ :
poleni
2026-10-11 21:57:28
0
kize :
carelessness
2026-10-11 09:44:03
5
Anthony Sadaka :
careless driving
2026-10-11 10:17:05
2
abu :
kwahio wafurahia
2026-10-11 11:48:21
3
kamonyistanley :
mnainua matatu huko nyuma zinapoteza stability plus careless driving ndio maana
2026-10-11 17:08:24
4
N876T674JK :
Dereva ni Sabri King? Poleni sana
2026-10-11 19:24:28
1
babaglaw0 da mpokomo :
imepumzika bana
2026-10-11 10:04:55
4
zaeem IT Engineer 001 :
mwambie aende hosi.achekiwe.....sometimes waweza.umia ndani na usijuwe, kuna mtu.alipata ajali akatoka mzima kabisa akaenda mwenyewe hospitali kufanya checkup kufika alianguka na.kuaaga....kumbe alipata internal bleeding. kuweni makini
2026-10-11 18:19:00
3
Ĥâțâřî^Mãñ@001 :
ilikuwa kisauni boss akaitoa kisauni ndo hio
2026-10-11 10:51:25
3
nation :
huyo dereva ni reckless sana
2026-10-11 16:09:41
1
Davy Yoh :
poleni 🙏🙏
2026-10-11 10:26:03
1
Œil-de-lynx :
Huyu msee amefurahia sana
2026-10-11 14:34:53
2
@MK MIKE G :
unaonge naraha kweli
2026-10-11 16:53:49
1
josephkaingu657 :
hii kitu inaniumiza nikama hii gari niyangu lakini ashukuriwe mungu maana abiria hakuna alie poteza maisha lakini madereva wamtwapa hawako makini
2026-10-11 16:40:00
1
𝔹𝕣𝕦𝕔𝕖 𝔻𝕦𝕝𝕝𝕒𝕙 :
Eeeeeeh broo mbn wafurahia kwenye hilo swala
2026-10-11 18:39:32
0
👑 OFFICIAL_MATANO👑 :
Mbona ana park gari vibaya
2026-10-11 21:18:40
0
mariah EBS :
gari zinainuliwa vimbaya
2026-10-11 20:07:47
0
26☠️☠️ :
ino gari muna moto sana
2026-10-11 18:55:41
0
mc jojo :
aisei🤣🤣
2026-10-11 19:10:47
0
harlymeer🥰 :
mashallha mungu alinde zaidi
2026-10-11 09:26:34
0
To see more videos from user @user6200695797631, please go to the Tikwm
homepage.