@abduli066zanzibar1: Haya semeni nyinyi makima mana wenyewe ndio hao washasema waarabu sio walioleta utumwa zanzibar ni waingereza yaani wazungu sasa kima mmoja wa africa anaamini ni waarabu wakati wao wenyewe washaomba radhi kanisani
NDUGU ZETU WAENDELEEE KUELEW KUWA WAARABU SIO WATU WABAYA😅😅😅
2026-10-11 08:48:32
6
ahmatar2023 :
napita tu....
2026-10-11 14:30:57
1
user4633313265534 :
Wagalatia walidanganya sana
2026-10-16 03:48:33
1
هرولة :
tatizo mulidanganywa na histori ya vitabu zanzibar kulikua hakuna utumwa
2026-11-21 06:44:44
0
a.moh'd.homie :
2026-10-11 13:36:44
0
ENMk🦅 :
ila waarabu walikuwa watendaji sio
2026-10-11 10:19:38
0
. :
jwa wale wanaochukiacwarabu angalieni inawahusu video
2026-10-11 15:00:44
4
SULTAN SHOP :
Kama waarabu walioleta utumwa mbona minyororo ya utumwa zanzibar yapo kanisani sio msikitini na sio kisiwani bali duniani kote zimekutwa sehemu za adhabu za kutisha makanisani wanaiita punishment dungeon.
2026-10-11 12:41:58
4
Michael Lyapa :
duuhh [Laughing][Laughing] hii Africa utumwa wa kidini umetupeleka shimoni kabisa
2026-10-23 12:14:07
2
mbgla :
hatutaki msamaha wako
2026-10-11 13:19:25
1
user6205308296244 :
mbona machotara wa Zanzibar ni waarabu kwa waswahili. sio wazungu kwa waswahili
2026-10-13 05:09:23
0
noorlayn :
tunamuachia Mungu kwa mauwaji yao waliyo yapanga mwaka 1964 January kwa kutuulia ndugu zetu wazanzibar kupitia kanisa lao hilo la uengereza
2026-10-29 02:44:20
1
To see more videos from user @abduli066zanzibar1, please go to the Tikwm
homepage.