@henryyanga04: Aisee Jana tumepigiwa mpira 🙌🙌#trendings #fyp #daimambelenyumamwiko

Henry Yanga
Henry Yanga
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 07:00:59 GMT
29398
1919
50
50

Music

Download

Comments

ramaah7719
Ramii 💰💔🔐 :
gar umeikumbuka asubuhi [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-11 10:05:19
0
hamadmwaliza
Hamad Mwaliza :
Who are you?
2026-10-11 09:03:59
0
user2362595605281
omary mohamedi :
mpira simba wanaupiga sikuzote wanapo kutana na yanga hata hizo mechi mlizoshinda kwa msaada bado simba walikuwa wanaongoza kwa umiliki uwanjani.
2026-10-11 07:40:40
4
user9826076151754
user9826076151754 :
Sanatu
2026-10-11 07:09:14
1
mussaomar393
WISE :
kweli god lazima ́watuambie haiwezekani simba watuvuruge vile
2026-10-11 08:38:06
3
shaniemohamedi
Mrs kabezi♥️💍 :
pumzika kwa aman mzee mpiri kipindi unafariki sikuwa na bando
2026-10-11 09:39:36
2
omarymtitu811
mtitu jr :
sawa sawa bila taarifa kwa umma hatuwaelewi
2026-10-11 09:12:50
1
hanifahomar875
Hanifah Omar :
Mmeona tunavyoumiaga sisi ee
2026-10-11 07:58:03
1
chll507
Samira mussa :
2026-10-11 09:43:18
1
edinamhando0
user35780877815680 :
kweli
2026-10-11 07:58:32
1
yambiashura
user6544829768737 :
2026-10-11 09:41:59
1
user55361127197
ashraf217abdallah Michael :
tumefugwa sawa ndio usahau gar kaka
2026-10-11 08:56:45
1
bad.milton30
Epha 🥰 :
😂😂😂 nacheka kama mazuri vile.... wakati naumia
2026-10-11 09:33:59
1
mkoma.lulu
Mkoma Lulu :
msema kweli mpzn wa mungu simba jana wamecheza mimi yanga lkn jana watani hongereni......
2026-10-11 08:08:45
3
moniccalucas102
Monicca :
Jan nimelia htr
2026-10-11 07:34:30
1
mtu.pori59
Mtu pori :
huyu ni kama nani
2026-10-11 07:56:37
0
faudhia1538
faudhia :
saaaaaan tunahitaji taarifa kwa umaaaa
2026-10-11 08:12:22
1
mayasasimai
mayasasimai :
Yanga bingwaa
2026-10-11 08:28:34
1
aishaibrahim8982
jane :
Hivi wana nchi wenzangu kuna timu isiyofungwa?
2026-10-11 10:29:01
0
gracejohn6771
Grace John :
hii mikate ndio imekuwa sponserd na watu wa simba na yanga
2026-10-11 08:13:53
0
mr.umeme
Mr umeme :
pira umeme halijawahi tokea
2026-10-11 10:38:38
0
comfortarsons
comfortarson's :
kwanza wamechelewa sana
2026-10-11 11:18:57
0
user2253408752009
user2253408752009 :
kweli kabisa hata mimi nasubiri tarifa kwa umma
2026-10-11 11:19:40
0
user5367734595019
Omar gala :
wa tupe taarifa hiyo
2026-10-11 11:03:34
0
said.momba
Momba de wizy :
🤣🤣🤣🤣🤣 mpila sio wa kawaid shoti tageti moja tu
2026-10-11 11:08:07
0
To see more videos from user @henryyanga04, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About