sasa nyie mnajua kajenga kwa shngapi kama kauza kwa hasara bado mnataka kumuumiza
2026-10-12 05:57:24
6
Oluwa 🙏 :
nyumba yenu?
2026-10-11 18:52:00
1
Tupo Wengi :
Mali yako kijana
2026-10-11 10:24:11
6
MissOli👩🦰💞 :
kwann muwe madalali 3 kwa kiwanja ki 1????
2026-10-12 04:13:21
4
AmazingAveli :
Na nyie elimikeni komaeni kulipwa in percentage of the Sale price, andikishianeni kua malipo ni 5% au 10% of the agreed sale price
2026-10-11 17:42:58
0
Ariana Koy :
siy haki kbc jmn pole
2026-10-11 13:33:04
0
freemind751 :
Kama mlikubaliana kiwango fulani inabidi ahadi itekelezwe, kama hakukuwa na makubaliano usilalamike
2026-10-11 10:31:01
20
Nancyalfred77 :
Je tangia muanze udalali mnalipa Kodi ????
2026-10-11 13:46:11
9
Collagen Tanzania :
tatizo mlikua wengi sana😂😂
2026-10-11 16:39:29
3
martinmpogoro :
Mpaka leo kuuza nyumba au kiwanja mtu anatafuta dalali 😂😂😂
2026-10-11 14:54:30
5
DALALI PAPY KIJICHI :
Pole sana ndugu yangu yapaswa mwanasheria awe anaandika mikataba ya mauzo ya madalali
2026-10-11 09:17:44
7
Inno Msangi :
Kwanini tajiri asifanye kazi na dalali mmoja tu? Dalali husika ndi apambane na madalali wenzake..
2026-10-11 17:46:59
1
MRAMBWANI :
kwani yako
2026-10-11 18:26:33
1
Mwana wa mfalme :
Hiyo mbona nyingi sana
2026-10-11 09:47:59
8
Viwanja Pro Jacana :
Wanazingua sana kaka hakikisha mna statement before
2026-10-11 10:59:02
3
IREEN VIFAA VYA UMEME :
kwan umejenga na mimi au
2026-10-11 13:46:18
1
MIZZO Classic :
NYUMBA YAKO SASA??😳
2026-10-11 11:29:26
1
DALALI ZANZIBAR PAJE :
kaka ukilala ukilalamika kesi hiyo yani utakuwa umeshawishi mtue tayari ushapeleka mteja na biashara ishafanyika lakini kiasi hilo uliokubaliana nayo mwenyewe eneo akakupa tofauti awe mshukuru mungu tu basi dawa imeisha hapo sababu hizo kesi tunakutana nazo mtu atakuwa eid millioni tano haujakupa milioni mbili kesi nzito sana na ndio kesi zetu sisi madalali tunapita michakato ya moto yaani vitulo kwa hata fulani kama hi
2026-10-11 21:40:24
0
ReyMa :
kwanini msingeuza Kwa 100m kisha mumpe Yake 70
2026-10-11 13:29:48
4
Mshirazy Harith :
Nipeni mm hizo milion alaf nyie muachien tu mungu atawalipa 😂😂😂😂😂😂
2026-10-11 20:22:01
1
SEIFF :
Bora angetoa. milioni tatu angalau. kaka
2026-10-11 10:26:02
2
Nasrah store🌹❤️ :
ikifika comment za wenye nyumba niiteni🤣🤣🤣🤣🙌🏻
2026-10-11 08:38:10
4
ابوْ سٓلحٓ/ABUU SALHA♣️🐭 :
USITIE HURUMA MZEE UNAJICHORESHA MSHUKUR MUNGU KWA HICHO KIDOGO🙏
2026-10-11 13:07:43
1
To see more videos from user @dalali_kijichi_pacha, please go to the Tikwm
homepage.