@001queenhalish: @Sophy_Ron1 new mammy 🥰

QueenHalish🥰
QueenHalish🥰
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 11 October 2026 08:03:06 GMT
514784
34349
1002
1169

Music

Download

Comments

spiceychocolate1
Mpenzi chocolate 💞💞💞 :
Nakumbuka nkiambia mamangu hujui uchungu wa kuzaa😁😁😁😁
2026-10-11 09:52:29
636
mercy.mueni.david
Mercy mueni david :
nimezaa 10.10.2026 congratulations to me🥰🥰
2026-10-12 05:20:38
681
beby.girl378
b̸e̸b̸y̸ g̸i̸l̸r̸🌸🦋🦋 :
mnatuogopesha ambao hatujaza
2026-10-11 16:59:28
116
mamakeruuuu
mamakeRuuuu :
ila Sophia Roni 🤣🤣🤣🤣
2026-10-16 11:44:50
0
sania64045
sania💞 :
pole mwaya pambana
2026-10-16 13:58:39
0
user2538609329456
user2538609329456 :
ya Allah na mm nijaalie niitwe mama yarabby Amin🙏
2026-10-11 20:35:20
427
shishirugeh97
shishirugeh97 :
🥺nakumbuka siku kama ya jana 10/10/2022 time kama hii nilikuwa sielewi kabisa naona kifo hiki hapa shahada nilizipiga mpaka basi maumivu yanazidi kutanda nilipiga magoti nikamuomba mamangu msamaha anisamehe labda nilimkosea bila kujua🥺 mamangu machozi yanamdondoka anayazuia akasema Mungu mpumzishe mwanangu haya maumivu nipe mm mwanangu apumzike 🥺kando yangu babangu anajikaza kiume nisione huzuni yake 🥺🥺🥺waaaah Mungu usinipe utajiri kwenye hii dunia nipe tu hawa watu wawili niwaone hadi pumzi yangu ya mwisho sijui ningefanyaje Mungu awaeke wazazi wangu 🥰saa 11:57 usiku wa tarehe kumi nilizaa mwanagu mlango wa theatre Alhamdhulilah mwanangu jana amekamilisha 4yrs kuzaa shikamooo ya Allah wape Mungu mama zetu hakika wanastahili .
2026-10-11 14:20:28
152
iambaron254
BARON💥💢 :
Hii nchi iuzwe kila mtu apewe chake😂😂
2026-10-11 13:17:50
72
lnejoliedio
Jolie Dio💜. :
nobody should bring me back here 👋😂😂
2026-10-15 19:20:55
4
lemagirl51
It's me🥰 :
Sitasahau siku ya leba nurse kapita na nguo nyeupe nikasema YESU niokoe 😂😂😂 daaah MUNGU saidia wajawazito wote wajifungue salama
2026-10-12 10:58:47
109
galbywangu1
Galby wangu🫀👸 :
Ee Mungu wamama wote wenye wanataka kujifungua uwajalie wajifungue salama salmini🙏🙏🥰 Mungu usinisahau n mim huu mwaka fanya jambo nionje jina y mama🥺😩
2026-10-11 12:39:39
94
abby5859
🦋Lugari❣️ Finest🦋 :
ati sasa next year mwezi wa tano pia mm nitakuwa hivi🥲🤔
2026-10-13 08:38:47
40
pretty__faree1
✨ ♍ 🪷 :
upate hizi ni drafts[Heartwarming]
2026-10-11 08:36:12
84
mishmey
🌹Mishcheu¹⁰🌹 :
mama angu Aliniambia jikaze nilimwambia mama angu we hujui tu vile nackia hujui ule uchungu napitia wasema
2026-10-11 10:07:25
25
lady.brenda245
lady brenda245🗯 :
huyo mtoto alizaliwa akiwa amechoka😅😅
2026-10-11 09:08:21
88
mama.nurto.baby
Mummie’s daughter ♥️🇰🇪. :
Congratulations,sio rahisi kuitwa mamaa
2026-10-11 08:13:17
64
ningalas
mamake Nancy :
Congratulations mama Ollie 🥰🥰
2026-10-11 11:07:45
11
mamakezia.1
mamakezia :
jaman wa December tujuane maan bas tu
2026-10-12 09:02:23
7
user47fauz8
user47fauz :
Mabrouk Allah amjalie awe mwana mwema Amiin
2026-10-11 08:54:39
36
raish.burbie
Raish Burbie :
nacheka na soon naenda huko😂
2026-10-11 10:26:57
5
sagit623
𝑴'𝑺 𝑩𝑬𝑺𝑻 𝑾𝑰𝑵𝑵𝑬𝑹🦋 :
content hii🙄
2026-10-11 09:14:59
13
summersiti2
✨Da sity🌹💫🥰🥰🥰 :
ila Sophie umejua kunichekesha
2026-10-11 09:01:23
11
user3237439988131
user3237439988131 :
cjui nacheka nn na nko 37 weeks🤣🤣🤣🤣
2026-10-11 09:14:18
6
nyere8
nyere8 :
shangazi wammi jamani🤣🥰
2026-10-11 15:28:28
9
mermitho64
Mummitho❤️‍🩹❤️ :
Khaaa🤣🤣
2026-10-11 08:05:03
11
To see more videos from user @001queenhalish, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About